검색어: relevant (영어 - 스와힐리어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

relevant

스와힐리어

maana ya neno husika

마지막 업데이트: 2019-08-05
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

maana ya neno relevant

스와힐리어

muhimu ya muhimu

마지막 업데이트: 2020-01-19
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

meaning descending word relevant

스와힐리어

maana kishuka neno relevant

마지막 업데이트: 2023-07-12
사용 빈도: 2
품질:

추천인: 익명

영어

here are some relevant tweets:

스와힐리어

hapa kuna twiti kadhaa zinazojibu utafiti huo:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

meaning staftai the relevant word

스와힐리어

maana staftai

마지막 업데이트: 2019-12-08
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

please relevant to the above headline

스와힐리어

kwa majina naitwa happiness nilikuwa mwanafunzi wak

마지막 업데이트: 2019-05-31
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

a relevant review was conducted by whitby et al.

스와힐리어

uchunguzi unaohusiana ulifanywa na whitby na waandishi wengine.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

rule of law fixation leaves out the most relevant countries.

스와힐리어

utawala wa sheria unaziacha mbali nchi nyingi ambazo zingestahili.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

please relevant to the subject of the subject mentioned above

스와힐리어

naomba kufadhiliwa gharama zinazohitajika katika utendaji kazi kiasi cha 60000

마지막 업데이트: 2020-09-19
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

apparently people of other nationalities are less relevant / interesting.

스와힐리어

kiuwazi kabisa watu wa mataifa mengine si wa muhimu wala kuvutia hisia.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

many gps and primary care teams may not realize that important relevant data can be coded.

스와힐리어

wengi wa hudumu na timu za tiba ya kimsingi huenda wasiweze kugundua kwamba data muhimu inaweza kusimbwa.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

obviously, he needed the media and legal circus to make himself ‘relevant’ to stay on visible

스와힐리어

wazi, alihitaji sarakasi ya vyombo vya habari na sheria ili kujipa “umuhimu” ili aweze kuonekana.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

with relevant examples, explain six dysfunction of strategies provided by max weber's bureaucratic model in governing educational institution

스와힐리어

ukiwa na mifano inayofaa, fafanua kuharibika kwa mikakati sita iliyotolewa na modeli ya urasimu wa kiwango cha juu cha weber katika taasisi ya elimu

마지막 업데이트: 2021-06-14
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

in uganda, 65 percent of respondents in this poll support the respect of term limits, an issue that grows more relevant by the day.

스와힐리어

nchini uganda, asilimia 65 wa watu walioshiriki utafiti huu wanaunga mkono ukomo wa madaraka, suala ambalo linaendelea kubeba umuhimu kila uchao.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

i have written this letter to you asking you to send us payment documents in advance so that we can review the salary complaints on time and submit them to the relevant section for implementation.

스와힐리어

nimekuandikia waraka huu kukuomba kwamba uwe unatutmia nyaraka za malipo mapema ili tuwe tunapitia malalamiko ya mishahara kwa wakati na kuyawasilisha sehemu husika kwa ajiri ya utekelezeji

마지막 업데이트: 2021-10-04
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

he has also been uploading copies of his old paintings on facebook which he thinks are still relevant because of the attacks on lumad communities and the continued plunder of natural resources in the ancestral domains of ethnic tribes.

스와힐리어

amekuwa pia akipakia nakala ya kazi zake za zamani katika ukurasa wake wa facebook ambazo anaziona kama bado zina manufaa kufuatia kuvamiwa kwa jamii ya lumad na matukio ya mfululizo ya kurubuni mali asili zilizopo kwenye maeneo ya urithi ya makabila haya.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

the third challenge window is open. the challenge will include three to five themes. the dli innovation challenge team will develop these themes through consultation with relevant tanzanian stakeholders.

스와힐리어

window ya challenge ya tatu ni wazi. changamoto itajumuisha mandhari tatu hadi tano. timu ya innovation challenge timu itaendeleza mandhari hizi kwa kushauriana na wadau wa tanzania.

마지막 업데이트: 2017-12-04
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

netizens have also been reacting to an unprecedented move in zambian politics after the the president implored law enforcement agencies in the country to investigate his son and encouraged mr chifire to report any suspected unlawful activity linked to the first family to the relevant law enforcement agencies.

스와힐리어

watumia mtandao wamekuwa wakizungumzia hatua ambayo haikutegemewa katika siasa za zambia baada ya rais kuziomba mamlaka za kutekeleza sheria nchini humo kumchunguza mwanae na kumshauri bw. chifire aliyeibua tuhuma hizi kupeleka taarifa za kitendo chochote kinachohisiwa kuwa kinyume cha sheria na kinachohusianishwa na familia ya rais kwenda kwa mamlaka za kisheria zinazohusika.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

given today’s developments, i have also directed the relevant departments and agencies to review the implications under u.s. law for our assistance to the government of egypt.

스와힐리어

kwa kuangalia mwenendo wa mambo leo hii, nimezielekeza idara na mashirika yanayohusika kutathmini matokeo ya matukio haya chini ya sheria yetu ya marekani inayoongoza misaada yetu kwa serikali kwa misri.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

critics say her campaign pledges adopted against her own identity as a conservative candidate, helped park to rake in more votes in the last presidential election. @metempirics gathered relevant links and web reactions in storify.

스와힐리어

wakosoaji wanasema kampeni yake iliahidi kinyume na sera yake kama mgombea mhafidhina, ilimsaidia kuzoa kura katika uchaguzi uliopita. akaunti ya mtandao wa twita wa @metempirics ilikusanya viunganishi vinavyohusika na miitikio ya mtandaoni katika kipengele cha habari (storify).

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,793,524,470 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인