전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
although the situation has died down after widespread condemnation, sporadic violence against muslims continues in different parts of sri lanka.
ingawa hali imetulia baada ya kulaaniwa sana kila sehemu, bado ghasia hizo dhidi ya waislamu zinaendelea katika maeneo tofauti ya sri lanka.
anything more superficial than this firm engagement will play into the hands of the ltte lobby in the west — and inflame sinhala nationalists in sri lanka.
njia nyingine yoyote isipokuwa mapambano imara kungetumiwa na waunga mkono wa ltte walio nchi za magharibi – na kuwachochea wazalendo wa ki-sinhala nchini sri lanka.
several disgruntled filipino internet users pointed to the pope’s recent visit to sri lanka, where he was seen touching and blessing the hands of the faithful along the road.
baadhi ya watumiaji wa mtandao wa intaneti wa ki-filipino walifananisha ziara ya hivi majuzi ya papa nchini sri lanka, ambapo alionekana akigusa na kubariki mikono ya waumini waliokuwa wamesimama barabarani kumlaki.
sri lanka's incumbent president mahinda rajapakshe's aggressive re-election campaign includes purchasing banner ads on leading global media sites.
kampeni kabambe ya rais wa sri lanka aliye madarakani, mahinda rajapakshe inajumuisha manunuzi ya nafasi za matangazo katika tovuti mashuhuri za vyombo vya habari duniani.
journalist, photographer and blogger meg at life in lanka blog reports that in remote sri lankan villages some women do not have a say in what type of contraception they use.
mwandishi, mpiga picha na mwanablogu meg at life in lanka anaripoti kuwa kwenye sehemu za vijini nchini sri lanka baadhi ya wanawake hawana kauli kuhusu aina ya mpango wa uzazi wanaoutaka.
canada, the united states, japan, india, sri lanka, australia, france, argentina, germany, and thailand were among the first to plan the evacuation of their citizens.
kanada, marekani, japani, uhindi, sri lanka, australia, ufaransa, argentina, ujerumani, na thailand walikuwa kati ya nchi za kwanza kupanga uhamisho wa raia wao.
ever thought of the thousands of innocent tamils who were slaughtered by the indiscriminate use of artillery and chemical weapons by the sri lankan army during the genocidal war?"
je mmeweza kuwafikiria maelfu ya watamil wasio na hatia ambao waliuwawa kutokana na matumizi ya jumla ya makombora na silaha za sumu yaliyofanywa na jeshi la sri lanka wakati wa vita hivi vya kimbari?
a lakh (/læk, lɑːk/; abbreviated l; sometimes written lac[1]) is a unit in the indian numbering system equal to one hundred thousand (100,000; scientific notation: 105).[1][2] in the indian 2,2,3 convention of digit grouping, it is written as 1,00,000.[3] for example, in india 150,000 rupees becomes 1.5 lakh rupees, written as ₹1,50,000 or inr 1,50,000. it is widely used both in official and other contexts in afghanistan, bangladesh, bhutan, india, myanmar, nepal, pakistan, and sri lanka.
swahili
마지막 업데이트: 2022-03-10
사용 빈도: 1
품질:
추천인: