검색어: technique (영어 - 스와힐리어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

it is god's technique which has established everything perfectly.

스와힐리어

huo ndio ufundi wa mwenyezi mungu aliye tengeneza vilivyo kila kitu.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

hopefully, the new technique can dramatically enhance the sensitivity and convenience if verified in clinical samples.

스와힐리어

tunatumai kwamba mbinu hii mpya inaweza kuboresha kwa njia ya kipekee umuhimu na urahisi ikiwa itathibitishwa katika sampuli za kliniki.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

영어

correct handwashing technique recommended by the us centers for disease control for prevention of transmission of disease includes the following steps:

스와힐리어

mbinu ya kuosha mikono kwa njia sahihi inayopendekezwa na vituo vya kuzuia na kudhibiti ugonjwa vya marekani kwa ajili ya kuzua kusambaa kwa ugonjwa ni pamoja na hatua zifuatazo:

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

영어

a third strategy is that of the nucleic acid vaccines (dna or rna vaccines, a novel technique for creating a vaccination).

스와힐리어

mbinu ya tatu ni ya chanjo ya asidi ya kiini cha chembe (chanjo za dna au rna, mbinu mpya ya kutengeneza chanjo).

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

영어

a highly respected reporter in china, chai is known for her sharpness, persistence and her direct, cut-to-the point interview technique.

스와힐리어

mtangazaji huyo anayeheshimika sana nchini china, chai anafahamika kwa weledi wake, ufuatiliaji na mbinu yake ya kuhoji bila kona, na kujielekeza kwenye hoja moja kwa moja.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

asked about his technique, zunar explained that it’s important for an artist to 'take a stand' and convey the right message to the reading public:

스와힐리어

alipoulizwa kuhusu mbinu yake, zunar alieleza kwamba ni muhimu kwa msanii 'kuwa na msimamo unaoeleweka' na kutoa ujumbe sahihi kwa hadhira yake:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

much of the research of this period was of lasting importance, not only for mt but also for computational linguistics and artificial intelligence — in particular, the development of automated dictinaries and of techniques for syntactic analysis — and many theoretical groups made significant contributions to linguistic theory. however, the basic objective of building systems capable of producing good translations was not achieved. optimism had been high, there were many predictions of imminen

스와힐리어

utafiti mwingi wa kipindi hiki ulikuwa wa umuhimu wa kudumu, sio tu kwa mt lakini pia kwa lugha za kiakili na akili ya bandia - haswa, maendeleo ya dikteta za kibinadamu na za mbinu za uchambuzi wa maumbile - na vikundi vingi vya nadharia vilitoa mchango mkubwa kwa nadharia ya lugha. . walakini, lengo la msingi la mifumo ya kujenga yenye uwezo wa kutoa tafsiri nzuri haikufikiwa. matumaini yalikuwa juu, kulikuwa na utabiri mwingi wa imminen

마지막 업데이트: 2019-12-07
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
8,743,262,476 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인