검색어: territory (영어 - 스와힐리어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

in a nearby territory.

스와힐리어

katika nchi iliyo karibu.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

make safe this territory, and preserve me and my sons from serving idols.

스와힐리어

ujaalie mji huu uwe wa amani, na uniepushe mimi na wanangu na kuabudu masanamu.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

and they carry your loads to territory you could not have reached without great hardship.

스와힐리어

na hubeba mizigo yenu kupeleka kwenye miji msiyo weza kuifikia ila kwa mashaka ya nafsi.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

but when it descends in their territory, then evil is the morning of those who were warned.

스와힐리어

basi itakapo shuka uwanjani kwao, itakuwa asubuhi mbaya kwa walio onywa.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

do they not see that we are now advancing into their territory, diminishing it from different sides?

스와힐리어

je, hawaoni ya kwamba sisi tunaifikia ardhi tukiipunguza ncha zake?

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

do they not see that we have made a sacred territory secure, while men are carried off by force from around them?

스와힐리어

je! hawaoni ya kwamba tumeifanya nchi takatifu ina amani, na hali watu wengine wananyakuliwa kote kwa majirani zao?

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

for the first time, boko haram conducted an assault on niger's territory and the youth of niger will not stand for it.

스와힐리어

kwa mara ya kwanza, boko haram kimetekeleza shambulio kwenye mpaka na naija na vijana wa ki-naija hakuweza kuvumilia.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

he bequeathed you their land, their houses and their possessions, and a territory you had not trodden, and allah has power over all things.

스와힐리어

na akakurithisheni ardhi zao na nyumba zao na mali zao, na ardhi msiyo pata kuikanyaga. na mwenyezi mungu ni mwenye uweza juu ya kila kitu.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

영어

another possible advantage is that despite long resistance from jonathan, neighbouring countries are increasingly present in the combat of boko haram and some extra weeks may halt the loss of territory to the insurgents.

스와힐리어

pamoja na kuwa rais goodluck jonathan hakutaka nchi jirani kuisadia nchi yake kupambana na boko haram, ushirika wao katika wiki chache unaweza kuisaidia naijeria kusitisha harakati za magaidi hawa za kutaka kuitawala nchi hii, jambo ambalo linaweza kuchukuliwa kuwa ni moja ya manufaa itakayopata chama tawala kutokana na kuahirishwa jwa uchaguzi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

"we believe israel should immediately and unconditionally end its assault on gaza, end the occupation of the west bank, and abandon all claims to possess or control territory beyond its 1967 borders.

스와힐리어

"tunaamini israeli lazima isitishe mara moja bila masharti mashambulizi yake huko gaza, isitishe ukaliaji wa mabavu kwenye ukingo wa magharibi, waache madai ya kumiliki au kuendesha himaya inayovuka mipaka yake ya 1967.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

영어

for the last few weeks, coren have mobilised the people of mali throughout the entire territory, with the page notably being used to announce upcoming events as well as to demonstrate solidarity as shown in the following status update from group member oumar maigar:

스와힐리어

kwa majuma machache yaliyopita, coren imeweza kuwahamasisha wananchi wa mali kote ndani ya mipaka hiyo, kwa kutumia ukurasa unaonekana kutangaza matukio yanayofuata pamoja na kuonyesha mshikamano kama inavyoonyeshwa katika habari mpya iliyowekwa na mwanachama wa kundi hilo aitwaye oumar maigar:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

"certainly, the state over whose territory this occurred bears responsibility for this terrible tragedy. this tragedy would not have occurred if there were peace in this land, if the fighting had not renewed in the south-east of ukraine."

스와힐리어

"kwa hakika, nchi ambayo mpaka wake ndiko tukio hili limetokea inawajibika kwa janga hili janga hili lisingetokea kama pangekuwa na amani kwenye nchi hiyo, kama mapigano yasingeibuka tena kusini mashariki mwa ukraine."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
9,179,753,348 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인