검색어: transition (영어 - 스와힐리어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

transition

스와힐리어

mabadiliko

마지막 업데이트: 2023-01-09
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

it does not include the current president of the transition.

스와힐리어

orodha hiyo haina jina la rais wa sasa wa mpito.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

bhutan: smooth transition to democracy · global voices

스와힐리어

bhutan: mpito usio na mikwaruzo kuelekea demokrasi

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

right now, our country finds itself at a moment of transition and great uncertainty.

스와힐리어

hivi sasa, nchi yetu imejikuta kwenye wakati wa mpito na usiotabirika kabisa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

now the big test will be how to transition to swahili in terms of materials, exams, and more.

스와힐리어

sasa jaribio kubwa litakuwa namna ya kutafsiri kwa kiswahili vitabu, mitihani na zaidi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

the question is just how “miraculous” was south africa’s transition from apartheid to democracy?

스와힐리어

swali ni kwamba "miujiza" ya mpito wa afrika kusini kutoka sera za kibaguzi kufikia demokrasia ilikuwaje?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

영어

he plans to publish a book through a kickstarter project that would include his photographs documenting life inside myanmar from 1987 through the recent historic transition.

스와힐리어

lengo lake lilikuwa kuchapisha kitabu kupitia kickstarter mradi ambao ungehusisha picha zake kuweka kumbukumbu za maisha ndani ya nchi hiyo kuanzia mwaka 1987 mpaka kufikia mabadiliko ya kihiistoria ya hivi karibuni.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

in the theocratic nation of vatican the principle of transition of power works better than in the country of "sovereign democracy" ...

스와힐리어

katika nchi ya kidini ya vatican kanuni za kuachiana madaraka zinafanya kazi vizuri kuliko kwenye nchi ya "demokrasia ya kujitegemea" ...

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

영어

as a result, the transition from school to work is more often than not unsuccessful and youth end up either unemployed or underemployed in the rural, suburban and urban informal sectors.

스와힐리어

matokeo yake, mpito kutoka shule kwenda kazini mara nyingi zaidi huwa bila mafanikio na vijana wanaishia kuwa ama wasio na kazi au wenye kazi duni zisizo rasmi katika maeneo ya vijijini, mijini midogo na mijini.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

further counselled to go to portugal, mp said she did not trust the portuguese and said she would feel better in guinea-bissau with those responsible for the transition.

스와힐리어

baadaye akashauriwa kwenye ureno, hata hivyo alisema hakuwa anawaamini wareno na kusema alijisikia afadhali angeenda guinea-bissau kuwa na wale wanaohusika na wakati huo wa mpito.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

capitaine sanogo is the leader of the new national committee for the restoration of democracy and state (cnrdr) who say they will pilot the transition until the elections in april.

스와힐리어

kapteni sanogo ndiye kiongozi wa kamati ya kijeshi ya taifa ya kurejesha demokrasia na nchi (cnrdr) ambao wanasema wataongoza serikali ya mpito mpaka uchaguzi utakapofanyika.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

patrick rajoelina argues that by law, if the president of the transition andry rajoelina still wants to run for the upcoming presidential elections in madagascar, he can no longer be president, according to the road map signed by all malagasy political parties in 2011.

스와힐리어

patrick rajoelina anahoji kisheria, ikiwa rais wa mpito andry rajoelina bado anataka kugombea katika uchaguzi ujao wa raia nchini madagaska, basi hatakuwa na sifa tena za kuwa rais, kwa mujibu wa makubaliano yaliyotiwa saini na vyama vyote vya nchi hiyo mwaka 2011.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

at the end of the 20th century, many african countries adopted presidential term limits aspart (sic) of a broader set of constitutional rules that accompanied the transition from personal and authoritarian rule to pluralistic modes of governance.

스와힐리어

mwishoni mwa karne ya 20 , nchi nyingi za afrika ziliweka ukomo wa mihula ya urais kama sehemu ya sheria pana za kikatiba zilizoenda sambamba na mabadiliko kutoka kwenye utawala binafsi na wa kiimla kwenda kwenye mfumo wa utawala unaoheshimu matakwa ya walio wengi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

although they were released a few hours later many netizens pointed at the ‘fun fact’ that the prime minister viktor orbán had once also been arrested for fighting for democratic rights at the time of hungary's transition to democracy.

스와힐리어

pamoja na kuwa waliachiwa masaa machache baadae, watumiaji wengi wa mtandao wa intaneti, waliweka bayana ‘ukweli wa utani’ kuwa waziri mkuu viktor orbán aliwahi pia kutiwa kizuizini kwa kupigania haki za kidemokrasi wakati wa kipindi cha mpito cha demokrasia ya hangari.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,750,092,622 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인