전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
youtube, music video, new, recent
youtube, video za muziki, mpya, hivi karibuni
마지막 업데이트: 2016-07-08
사용 빈도: 2
품질:
추천인:
rwanda’s top musicians king james, miss jojo, riderman, tom close, and urban boyz join the fight against malnutrition in rwanda with a youtube music video.
wanamuziki maarufu wa rwanda king james, miss jojo, riderman, tom close, and urban boyz walijiunga na mapambano dhidi ya utapiamlo nchini rwanda kupitia video ya muziki kwenye mtandao wa youtube.
watch the making of the music video and hear his thoughts on circus troops, being an outcast and how his music has become his freedom.
tazama video yake ya muziki na sikiza mawazo yake kuhusu tamaduni hizo, yeye akiwa mgeni wa nchi hiyo na namna muziki ulivyofanyika kuwa uhuru wake.
the music video received critical acclaim and was selected the best video of 2013 by the jury of popular annual manifestation zlatna buba mara.
video ya wimbo wake imesifika sana na ilichaguliwa kuwa wimbo bora wa video wa mwaka 2013 na majaji wa maonesho maarufu ya mwaka yanayoitwa zlatna buba mara.
a little-known ukrainian indie rock collective has captured the hearts of youtube users—and apple fans—with a cleverly shot music video that now has over half a million views.
kampuni ndogo ya kujitegemea ya utayarishaji wa muziki wa mahadhi ya dansi nchini ukraine imekonga nyoyo za watumiaji wa you tube pamoja na wale wa apple kupitia kwenye video fupi ya muziki ambayo hadi sasa imeshatazamwa na watu zaidi ya nusu milioni.
from music videos of her songs to lyrics to photos of her performing with fellow artists and fans, one can feel a more intimate connection with nyota ndogo through her blog.
kutoka kwenye video za nyimbo zake mpaka kwenye mashairi ya nyimbo zake mpaka kwenye picha zake zinazomwonyesha akitumbuiza na wasanii wenzake na mashabiki wake, mtu anaweza kujisikia kuunganishwa na kuwekwa karibu zaidi na nyota ndogo kwa kupitia blogu yake.
inspired by the well known humans of new york photography blog, humans of kibera is a project by kibera news network (knn), a group of young citizen video news journalists from kibera in nairobi, kenya.
kuna tovuti ya picha inayoitwa wanadamu wa new york (humans of new york) ambayo imehamasisha kuweko kwa wanadamu wa kibera ama (humans of kibera). huu ni mradi wa mtandao wa habari wa kibera (knn), kikundi cha waandishi vijana wa habari kutoka kibera, nairobi, kenya.
the blog translation project high peaks pure earth has recently focused on "music with a message" by translating the lyrics of tibetan songs from music videos that have been uploaded onto the internet.
mradi wa kutafsiri blogu uitwao high peaks pure earth hivi karibuni umetupia jicho “muziki wenye ujumbe” kwa kutafsiri mashairi ya nyimbo za tibet kutoka video za muziki zilizowekwa kwenye mtandao.