Je was op zoek naar: controversy (Engels - Swahili)

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Engels

Swahili

Info

Engels

a picture of controversy

Swahili

picha ya kutombana na sitaili

Laatste Update: 2017-10-30
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

so what's the controversy?

Swahili

kwa hiyo mkanganyiko ni upi?

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

the show is not without controversy.

Swahili

kipindi hiki hakijakosa utata.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

or will the moment be spoiled by controversy?

Swahili

au itakuwa ni wasaa utakaoharibiwa na utete wa tukio?

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

the report has generated controversy among europeans.

Swahili

ripoti imezua utata kati ya wazungu.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

pregnant 11-year-old who refused to abort creates controversy.

Swahili

kugoma kwa mjamzito wa miaka 11 kutoa mimba kumesababisha utata.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

the pope in cameroon (1): yaoundé clean up controversy · global voices

Swahili

papa nchini kameruni (1): utata wa safisha-safisha jijini yaounde

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

venezuela: mahmoud ahmadinejad's visit raises controversy · global voices

Swahili

venezuela: ziara ya mahmoud ahmadinejad yaibua utata

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

poland: controversy over polish president's burial‎ location · global voices

Swahili

poland: utata kuhusu sehemu atakayozikwa rais wa poland

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

the shoaib malik and sania mirza wedding controversy has been an awakening for people on the both sides of the india, pakistan border.

Swahili

utata wa harusi ya shoaib malik na sania mirza imewaamsha watu wa pande zote mbili za mpaka wa india na pakistani.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

the controversy has spread so far that rené, vocalist in the popular puerto rican group calle 13, commented on the incident:

Swahili

mtanziko huu umeenea mno kiasi kwamba rené, muimbaji maarufu katika kundi la puerto rican calle 13, alitoa maoni juu ya tukio hilo:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

with the following statement, senior minister of state for ministry of environment and water resources grace fu sparked off an online controversy amongst singaporeans:

Swahili

kufuatia tamko lifuatalo, waziri wa nchi mwenye dhamana ya mazingira na maji, grace fu, aliibua mkanganyiko miongoni mwa raia wa singapore:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

another topic that has sparked controversy among uzbek bloggers was the facebook account of uzbekistan’s prime-minister shavkat mirziyoyev.

Swahili

mada nyingine ambayo imeleta utata mkubwa kati ya wanablogu wa uzbek ni akaunti ya facebook ya waziri mkuu wa uzbekistan shavkat mirziyoyev.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

regardless of the controversy that has been created around the payment of their rescue, the good news is that montserrat serra and blanca thiebaut are with their families, safe and sound.

Swahili

pamoja na utata ambao umetokana na malipo ya kuwaokoa, habari njema ni kwamba montserrat serra na blanca thiebaut wako pamoja na familia zao, salama na wazima.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

past skeletons have crept up on shoaib in the form of his "ex wife" ayesha siddiqui, whom he had to officially divorce to end the controversy.

Swahili

mafuvu na mifupa vimemnyemelea shoaib kwa kupitia “mke wake wa zamani” ayesha siddiqui, ambaye ilimbidi amtaliki rasmi ili kuumaliza utata.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Engels

however, the second edition of the "besada" comes at a time when controversy has arisen around the exclusion of discrimination based on gender identity in the new labor code.

Swahili

hata hivyo, tukio la pili la "besada" linakuja wakati ambao kuna utata kuhusu kuondolewa kwa kipengeele cha kusitisha ubaguzi wa utambulisho wa kimapenzi katika sheria mpya ya kazi nchini humo.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Engels

jonathan’s confirmation as vp will hopefully put an end to the controversy (at least temporarily), and will give the leadership some semblance of order and due process.

Swahili

kuthibitishwa kwa jonathani kama makamu wa rais kunaweza kumaliza utata (angalau kwa muda), na kutaupa uongozi namna fulani ya uwepo kwa taratibu na michakacho inayokubalika.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

today's announcement that the polish presidential couple killed in the tragic aircraft accident over smolensk last saturday would be buried on sunday at 2pm in krakow's wawel castle raised a lot of controversy.

Swahili

tangazo la leo kuwa rais wa poland na mke wake, waliofariki katika ajali mbaya ya ndege huko smolensk jumamosi iliyopita, watazikwa siku ya jumapili saa 8 mchana katika kasri la wawel huko krakow limezua utata mkubwa.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

haiti has its own, which generate a lot of compassion, and we have ours, which do as much damage as an earthquake, such as statements by a president who has trouble staying above the fray, and whose is a source of controversy.

Swahili

haiti ina majanga yake, ambayo yanasababisha moyo wa huruma, na sisi tuna majanga yetu, ambayo hufanya uharibifu sawa tu na ule wa tetemeko, matamko kama haya ya rais ambaye anashindwa kuwa mbali na mitafaruku, na ambaye rekodi yake ni chanzo zha utata.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

however, there was much controversy when kami was introduced, particularly in the u.s., as many were outraged that a children's show would feature an hiv-positive character.

Swahili

hata hivyo, kulikuwa na mkanganyiko wakati kami alipoanza kuonyeshwa, hasa hasa nchini marekani, ambapo wengi walikasirishwa na kuwa kipindi cha watoto kinanamchezesha mhusika mwenye vvu.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Krijg een betere vertaling met
4,401,923,520 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentieWij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK