Vraag Google

Je was op zoek naar: electronic (Engels - Swahili)

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Engels

Swahili

Info

Engels

BuyMore – Electronic student discount card

Swahili

BuyMore – Kadi ya punguzo ya elekroniki kwa wanafunzi

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

TYPES OF PRINT AND ELECTRONIC MEDIA

Swahili

AINA YA NYENZO CHAPA NA ZA ELEKTRONIKI

Laatste Update: 2017-09-26
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

At the Electronic Intifada, Rami Almeghari reports that:

Swahili

Kwenye Electronic Intifada, Rami Almeghari anataarifu kuwa:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

The Electronic Frontier Foundation (EFF) notes that:

Swahili

Taasisi ya Electronic Frontier Foundation (EFF) inasema:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

Brazil was one of the first democracies of its size to use electronic voting machines.

Swahili

Brazil ilikuwa ni moja kati ya nchi za kidemokrasia za kwanza kutumia mashine za umeme za kupigia kura.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

Border crossing has long posed a risk for journalists, especially with respect to the search of electronic devices.

Swahili

Kuvuka mipaka kiasi hicho kumetengeneza hatari kwa waandishi, hasa kwa kuzingatia matumizi ya vifaa vya kielekroniki .

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

The bill also criminalizes the sending of information "without prior solicitation" by electronic means.

Swahili

Muswada huu pia unaeleza kwamba kutuma taarifa “bila idhini ya anayetumiwa” kwa njia za kieletroniki ni kosa la jinai.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Engels

An article by the Electronic Frontier Foundation shows the increasing attempts of silencing online activists and netizens in Ethiopia.

Swahili

Makala iliyoandikwa na asasi ya Electronic Frontier Foundation inaonesha kuongezeka kwa juhudi za kuwanyamazisha wanaharakati wa mtandaoni pamoja na watumiaji wa jumla wa mitandao hiyo wanaoishi Ethiopia.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

The electronic version of the weekly Proceso had previously reported the disappearance of the reporter, demanding answers from the authorities.

Swahili

Gazeti la kielekroniki la kila wiki la Proceso mapema lilitoa taarifa ya kupotea kwa mwandishi huyu wa habari huku likihitaji majibu kutoka serikalini.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

The letter is signed by Electronic Frontier Foundation, Vía Libre, Digital Rights NGO, among other academics and experts.

Swahili

Barua imetiwa sahihi na Electronic Frontier Foundation, Vía Libre, Digital Rights NGO, miongoni mwa wasomi wengine na wataalam.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

1) Opposition parties will continue to fight the hardest through online media, after being granted limited access to print and electronic media

Swahili

1) Vyama vya siasa vya upinzani vitaongeza upinzani wao kupitia vyombo vya habari vya mtandaoni, baada ya kupewa nafasi finyu katika vyombo vya habari vya magazeti na televisheni.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

For now, lawyers with Electronic Frontier Foundation, who are representing May First, are in touch with the U.S. Attorney General.

Swahili

Kwa sasa, wanasheria wa Electronic Frontier Foundation, ambao wanaiwakilisha May First, wanawasiliana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Marekani.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

It gives police wide ranging ability to search the homes of suspected violators of the law, seize their electronic hardware, and demand their data from online service providers.

Swahili

Muswada huo unawapa polisi mamlaka makubwa ya kupekua nyumba za watu wanaohisiwa kuvunja sheria hiyo, kukamata vifaa vyao vya kieletroniki, na hata kudai data zao kutoka kwa makampuni yanayotoa huduma za mtandao.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

The sentence includes books downloaded or viewed online and encompasses electronic formats for computers, smartphones, e-readers or any reading devices.

Swahili

Uamuzi huo unahusisha vitabu vinavyopakuliwa au kutazamwa mtandaoni na inahusisha mifumo kama kompyuta, simu za kisasa na vifaa vingine vya kusomea.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

We created an electronic platform (e-wallet) on which we registered farmers and agro dealers who own shops that sell farm inputs all over the country.

Swahili

Tumetengeneza jukwaa la kielektroniki (mkoba-pepe) ambako tuliwasajili wakulima na wafanyabiashara wa mazao ya kilimo wanaomiliki maduka yanayouza pembejeo za kilimo kote nchini.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

The Danquah Institute has hailed the successful conclusion of electronic voting in the world's largest democracy and called on Ghana's Electoral Commission to consider the numerous benefits of electronic voting as demonstrated in this latest poll.

Swahili

Taasisi ya Danquah kimesifu mafanikio makubwa ya matumizi ya mtandao kwa upigaji kura katika nchi ya demokrasi kubwa zaidi duniani na kutoa wito kwa Tume ya Uchaguzi ya Ghana kuangalia faida nyingi za kupiga kura kwa njia ya mtandao kama iliovyooneshwa kwenye uchaguzi wa hivi karibuni.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

The International Association of Money Transfer Networks, an industry association which represents companies that carry electronic money transfers, says that about half the funds wired to Haiti from the US, the largest source of remittances, is sent to rural areas.

Swahili

Jumuiya ya Kimataifa ya Mitandao ya Kutuma na Kupokea Pesa, jumuiya ambayo inawakilisha makampuni yayosafirisha pesa kwa njia ya umeme (au waya) inasema kuwa Karibu ya nusu ya fedha zilizotumwa kwenda Haiti kutokea Marekani, ambayo ni chanzo kikubwa cha pesa zinazotumwa, zilitumwa kwenda vijijini.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

In this case, Sony Corp. is a manufacturer of electronics products, whereas the website: www.sony-ak.com is only a personal website of its owner that provides free information.

Swahili

Katika hili, Shirika la Sony ni mzalishaji bidhaa za elektroniki, wakati tovuti ya: www.sony-ak.com ni tovuti binafsi tu ya aina yake inayotoa maarifa bure kabisa.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

Jillian, who joined Global Voices in 2007 and serves on the board as volunteers' representative, was awarded $250,000 for OnlineCensorship.org, a platform she'll develop with colleagues at the Electronic Frontier Foundation, where she's Director for International Freedom of Expression.

Swahili

Jillian, aliyejiunga na Global Voices mwaka 2007 na kufanya kazi kwenye jukwaa hili kama mwakilishi wa kujitolea, alitunukiwa kiasi cha dola za Marekani 250,000 kwa ajili ya OnlineCensorship.org, jukwaa atakalolianzisha yeye pamoja na wenzake katika taasisi ya Electronic Frontier, ambapo, yeye ni mkurugenzi wa taasisi ya Uhuru wa Kimataifa wa Kujieleza.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

The main challengers are the main opposition party Democratic Alliance (DA) and Electronic Freedom Fighters (EFF), the radical leftist party formed by the former ANC youth leader Julius Malema.

Swahili

Wapinzani wakuu ni chama kikuu cha upinzani Democratic Alliance (DA) na Wapiganaji wa Uhuru wa Kielekroniki (EFF), na chama chenye msimamo mkali wa kushoto kilichoanzishw ana kiongozi wa zamani wa umoja wa vijana wa ANC Julius Malema.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Krijg een betere vertaling met
4,401,923,520 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentieWij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK