Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
beareth all things, believeth all things, hopeth all things, endureth all things.
mwenye upendo huvumilia yote, huamini yote, na hustahimili yote.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
but the word of the lord endureth for ever. and this is the word which by the gospel is preached unto you.
lakini neno la bwana hudumu milele." neno hilo ni hiyo habari njema iliyohubiriwa kwenu.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
and ye shall be hated of all men for my name's sake: but he that endureth to the end shall be saved.
watu wote watawachukieni kwa sababu ya jina langu. lakini atakayevumilia mpaka mwisho, ataokolewa.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
blessed is the man that endureth temptation: for when he is tried, he shall receive the crown of life, which the lord hath promised to them that love him.
heri mtu anayebaki mwaminifu katika majaribu, kwani akisha stahimili atapewa tuzo la uzima ambalo mungu aliwaahidia wale wanaompenda.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
labour not for the meat which perisheth, but for that meat which endureth unto everlasting life, which the son of man shall give unto you: for him hath god the father sealed.
msikishughulikie chakula kiharibikacho; kishugulikieni chakula kidumucho kwa ajili ya uzima wa milele. mwana wa mtu ambaye baba amemthibitisha atawapeni chakula hicho."
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
he said: i am yusuf and this is my brother; allah hath surely been gracious unto us; verily whosoever feareth and endureth, then verily allah wasteth not the hire of the well-doers.
mwenyezi mungu ametufanyia hisani. hakika anaye mcha mungu na akasubiri, basi mwenyezi mungu haachi ukapotea ujira wa wafanyao mema.
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: