Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
Imperial College London researchers announced on 20 March 2020 that they are developing a self-amplifying RNA vaccine for COVID-19.
Watafiti wa chuo cha Imperial huko London walitangaza mnamo tarehe 20 Machi 2020 kuwa wanakuza chanjo cha RNA yenye nguvu zaidi kwa ajili ya COVID-19.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
According to the Imperial College study led by Neil Ferguson, physical distancing and other measures will be required "until a vaccine becomes available (potentially 18 months or more)".
Kwa mujibu wa uchunguzi wa Chuo cha Imperial inayoongozwa na Neil Ferguson, kudumisha umbali na watu na hatua zingine zitahitajika "hadi chanjo ipatikane (kuna uwezekano wa miezi 18 au zaidi)".
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
Schools in the Seattle area cancelled classes on 3 March, and by mid-March, schools across the country were shutting down.On 6 March 2020, the United States was advised of projections for the impact of the new coronavirus on the country by a group of epidemiologists at Imperial College London.
Shule katika eneo la Seattle zilikatiza madarasa mnamo 3 Machi, na kufikia katikati ya Machi, shule kote nchini zilikuwa zinafungwa.Mnamo 6 Machi 2020, Marekani ilishauriwa kuhusu makadirio ya athari ya virusi vya korana geni katika nchi na kikundi cha madaktari wakutabiri magonjwa katika Taasisi ya Imperial Uingereza.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: