Vraag Google

Je was op zoek naar: inauguration (Engels - Swahili)

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Engels

Swahili

Info

Engels

At Lugo's inauguration.

Swahili

Wakati wa Kuapishwa.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

In his inauguration speech, President Obama said:

Swahili

Katika hotuba yake ya kuapishwa, Rais obama alisema:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

MENA: Reactions to Obama's Inauguration · Global Voices

Swahili

MENA: Maoni Wakati Wa Kuapishwa Obama

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

Below is a video of the inauguration of the Kenyan Blog Awards:

Swahili

Hapa chini kuna video ya kuzinduliwa kwa Tuzo za Blogu Nchini Kenya:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

Paraguay: Following Lugo's Inauguration on Flickr · Global Voices

Swahili

Paraguai: Kuapishwa Kwa Lugo Kwenye Flickr

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

In the past few days, photographs of Lugo during his inauguration demonstrated the excitement of the historical event.

Swahili

Katika siku chache zilizopita, picha za lugo wakati wa kuapishwa kwake zimeonyesha msisimko wa tukio hili la kihistoria.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

In his inauguration speech President Rafael Correa promised to continue the social programs which his high levels of popularity have been based on.

Swahili

Katika hotuba yake ya kuapishwa Rais Rafael Correa aliahidi kuendelea na mipango ya kijamii ambayo ndiyo iliyochangia umaarufu wake mkubwa.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

President Mills thanked President Rawlings for representing Ghana at the inauguration and assured him that there would be follow up measures to take advantage of the opportunities for mutually beneficial relations between Ghana and South Africa.

Swahili

Rais Mills alimshukuru Rais Rawlings kwa kuiwakilisha Ghana katika kuapishwa na alimuhakikishia kuwa kutakuwa na hatua za kufuatilia kuzitumia fursa za mahusiano ya faida kwa pande zote kati ya Ghana na Afrika Kusini.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

The song was released by Tata Kingue just before Obama's inauguration in January 2009 and Gef's Outlook had done a small translation at the time.

Swahili

Wimbo ulitolewa na Tata Kingue kabla tu ya kuapishwa kwa Obama mwezi Januari 2009 na Gef’s Outlook imetoa tafsiri kidogo pale.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

Other digital spaces like 14ymedio.com magazine by blogger Yoani Sánchez, which upon its inauguration was redirected to yoanilandia.com, and therefore impossible to visit from the island (raising considerable criticism) was now accessible from Cuban servers.

Swahili

Majukwaa mengine ya kidigitali kama vile jarida la 14ymedio.com linalosimamiwa na mwanablogu Yoani Sánchez, ambalo kabla ya kurudishwa tena rasmi, lilielekezwa yoanilandia.com, hali iliyopelekea kushindikana kwa jarida hili kutembelewa na watu wakiwa kisiwani humu (hali iliyopingwa vikali) limekuwa tena likipatikana kupitia mtandao wa intaneti nchini Cuba.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
4,401,923,520 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentieWij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK