Vraag Google

Je was op zoek naar: lungu (Engels - Swahili)

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Engels

Swahili

Info

Engels

video mpya za ex za waz lungu

Swahili

video mpya za kutombana

Laatste Update: 2018-05-10
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

video mpya za ex za waz lungu

Swahili

video Mpya za zamani za Waz Lungu

Laatste Update: 2016-12-16
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

The new video of waz ex Lungu

Swahili

video mpya za ex za waz lungu

Laatste Update: 2016-12-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

Banda later recanted his claim about seeing Lungu’s medical report.

Swahili

Banda baadaealikanusha madai yake kwamba aliona cheti cha uchunguzi wa afya ya Lungu.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

President Lungu, quoted in The Post, defended his decision to go on what he called a retreat:

Swahili

Rais Lungu, alinukuliwa na jarida la The Post, akitetea uamuzi wake wa kwenda kwenye kile alichokiita mapumziko :

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

President Edgar Lungu on a helicopter ride viewing the South Luangwa National Park during a holiday he took two weeks into office.

Swahili

Rais Edgar Lungu akiwa kwenye helikopta akiangalia Hifadhi ya Wanyama ya Luangwa Kusini wakati wa likizo yake aliyoichukua majuma mawili tu baada ya kushika madaraka.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

I know my priorities; some cheeky fellows are saying ‘Lungu doesn’t know his priorities’.

Swahili

Ninavijua vipaumbele vyangu; baadhi ya watu wanasema, 'Lungu hajui vipaumbele vyake'.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

President Lungu undertook a Baseline Health Parameters routine check-up at Maina Soko and attended the dentistry at Lusaka Trust Hospital.

Swahili

Rais Lungu alifanyiwa uchunguzi wa kina kwenye Hospitali ya Maina Soko na kisha kuchunguzwa kinywa kwenye Hospitali ya Lusaka Trust.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

Blogger Elias Munshya Munshya, in response to Banda’s claims of having seen Lungu’s medical report, wrote:

Swahili

Mwanablogu Elias Munshya Munshya, alijibu madai ya Banda kwamba aliona cheti cha uchunguzi wa afya ya Lungu aliandika:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

His Excellency Mr. Edgar Chagwa Lungu, President of the Republic of Zambia has today undergone two medical examinations at Maina Soko Military Hospital and Lusaka Trust Hospital respectively.

Swahili

Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu, Rais wa Jamhuri ya Zambia amechunguzwa afya yake mara mbili kwenye Hospitali ya Kijeshi ya Maina Soko na Hospitali ya Lusaka Trust.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

Just after winning the election to replace Sata, Lungu underwent medical tests at Lusaka Trust Hospital and Maina Soko Military Hospital, both of which are within a short distance from the presidential palace in the Woodlands district of the capital city.

Swahili

Kabla ya kushinda uchaguzi na kumrithi Sata, Lungu alifanya uchunguzi wa afya kwenye hospitali ya Lusaka Trust pamoja na Hospitali ya Kijeshi ya Maina Soko, zote zikiwa umbali mdogo tu kutoka yalipo makazi ya rais, ikulu, wilaya ya Woodlands jijini Lusaka.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

Departing from his predecessor’s practice of not announcing his health-related matters, Lungu’s press aide Amos Chanda said in a statement:

Swahili

Akijaribu kuachana na utaratibu wa mtangulizi wake wa kuficha taarifa zake zinazohusiana na afya, msaidizi wake wa habari Amos Chanda alisema kwenye taarifa yake:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

In the run-up to the January 20 election, Opposition United Party for National Development Vice President Canicius Banda, a medical doctor, said that the burden of proof lay with ruling Patriotic Front President Lungu to convince the nation that he was well because a medical report his party had seen indicated that the now head of state allegedly suffered from a kidney problem.

Swahili

Wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi wa Januari 20, Makamu wa Rais wa Chama cha Upinzani cha UPND, Canicius Banda, daktari wa tiba, alisema chama kinachotawala cha PF anakotoka Rais Lungu kina kazi ya kulishawishi taifa kwamba hana matatizo ya kiafya kwa sababu cheti cha uchunguzi wa afya ambacho chama chake kimekiona kinaonesha kwamba mkuu huyo wa sasa wa nchi anaugua maradhi ya figo.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

Lawyer-turned-politician Lungu, who went to the South Luangwa National Park, one of Zambia’s prime tourist destinations, had not finished picking his Cabinet at the time.

Swahili

Lungu, mwanasiasa ambaye kitaaluma ni mwanasheria, alikwenda kwenye hifadhi ya wanyama za Luangwa Kusini, moja wapo ya vivutio vikuu vya watalii nchini Zambia, akiwa hata hajamaliza kuteua Baraza lake la Mawaziri wakati huo.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Engels

Lungu beat 10 other candidates, scraping by just 1.66 per cent over the nearest rival, opposition UPND’s Hakainde Hichilema, to become Zambia’s sixth president since independence from Britain in 1964.

Swahili

Lungu aliwashinda wagombea wengine 10, akishinda kwa asilimia 1.66 mbele ya mpinzani wake mkuu, Hakainde Hichilema wa chama cha Upinzani cha UPND, na kuwa Rais wa sita wa Zambia tangu uhuru kutoka kwa Uingereza mwaka 1964.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Krijg een betere vertaling met
4,401,923,520 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentieWij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK