Je was op zoek naar: udanganyifu (Swahili - Chinees (Vereenvoudigd))

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

Chinese

Info

Swahili

udanganyifu

Chinese

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Chinees (Vereenvoudigd)

Info

Swahili

anawaahidi na anawatia tamaa. na shet'ani hawaahidi ila udanganyifu.

Chinees (Vereenvoudigd)

他应许他们,并使他们妄想--恶魔只为诱惑而应许他们--

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

uzinzi, uchoyo, uovu, udanganyifu, ufisadi, wivu, kashfa, kiburi na upumbavu.

Chinees (Vereenvoudigd)

偷 盜 、 兇 殺 、 姦 淫 、 貪 婪 、 邪 惡 、 詭 詐 、 淫 蕩 、 嫉 妒 、 謗 讟 、 驕 傲 、 狂 妄

Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

au ni lipi hilo jeshi lenu la kukunusuruni badala ya mwingi wa rehema? hakika makafiri hawamo ila katika udanganyifu.

Chinees (Vereenvoudigd)

除了真主援助你们外,还有谁能做你们的援军呢?你们只陷於自欺之中。

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

na walipo sema wanaafiki na wale wenye maradhi katika nyoyo zao: mwenyezi mungu na mtume wake hawakutuahidi ila udanganyifu tu.

Chinees (Vereenvoudigd)

当时,伪信者和心中有病的人都说:真主及其使者,只虚伪地应许我们。

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

na kutumia udanganyifu wa kila namna kwa wale walio katika mkumbo wa kupotea. hao watapotea kwa sababu hawakuupokea na kuupenda ule ukweli ili waokolewe.

Chinees (Vereenvoudigd)

並 且 在 那 沉 淪 的 人 身 上 、 行 各 樣 出 於 不 義 的 詭 詐 . 因 他 們 不 領 受 愛 真 理 的 心 、 使 他 們 得 救

Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

husema maneno ya majivuno na yasiyo na maana, na kutumia tamaa zao mbaya za kimwili kuwatega wale ambao wamejitenga hivi karibuni na watu waishio katika udanganyifu.

Chinees (Vereenvoudigd)

他 們 說 虛 妄 矜 誇 的 大 話 、 用 肉 身 的 情 慾 、 和 邪 淫 的 事 、 引 誘 那 些 剛 纔 脫 離 妄 行 的 人

Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

angalieni basi, mtu asiwapotoshe kwa udanganyifu mtupu wa hekima ya kibinadamu, ambayo chanzo chake ni mafundisho ya mapokeo ya watu na ya pepo watawala, na wala si kristo mwenyewe!

Chinees (Vereenvoudigd)

你 們 要 謹 慎 、 恐 怕 有 人 用 他 的 理 學 、 和 虛 空 的 妄 言 、 不 照 著 基 督 、 乃 照 人 間 的 遺 傳 、 和 世 上 的 小 學 、 就 把 你 們 擄 去

Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kila nafsi itaonja mauti. na bila ya shaka mtapewa ujira wenu kaamili siku ya kiyama. na atakaye epushwa na moto na akatiwa peponi basi huyo amefuzu. na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu.

Chinees (Vereenvoudigd)

人人都要嘗死的滋味。在復活日,你們才得享受你們的完全的報酬。誰得遠離火獄,而入樂園,誰已成功。今世的生活,只是虛幻的享受。

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

tumeyaacha kabisa mambo yote ya aibu na ya kisirisiri. hatuishi tena kwa udanganyifu, wala kwa kulipotosha neno la mungu; bali tunaudhihirisha ukweli kwa kuufanya ukweli, na hivyo kujiweka chini ya uamuzi wa dhamiri za watu mbele ya mungu.

Chinees (Vereenvoudigd)

乃 將 那 些 暗 昧 可 恥 的 事 棄 絕 了 、 不 行 詭 詐 、 不 謬 講   神 的 道 理 . 只 將 真 理 表 明 出 來 、 好 在   神 面 前 把 自 己 薦 與 各 人 的 良 心

Laatste Update: 2012-05-05
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

jueni ya kwamba maisha ya dunia ni mchezo, na pumbao, na pambo, na kujifakhirisha baina yenu na kushindana kwa wingi wa mali na watoto. mfano wake ni kama mvua ambayo huwafurahisha wakulima mimea yake, kisha hunyauka ukayaona yamepiga manjano kisha yakawa mabua. na akhera kuna adhabu kali na maghfira kutoka kwa mwenyezi mungu na radhi. na maisha ya dunia si chochote ila ni starehe ya udanganyifu.

Chinees (Vereenvoudigd)

你们应当知道,今世的生活,只是游戏、娱乐、点缀、矜夸,以财产和子孙的富庶相争胜;譬如时雨,使田苗滋长,农夫见了非常高兴,嗣后,田苗枯槁,你看它变成黄色的,继而零落。在后世,有严厉的刑罚,也有从真主发出的赦宥和喜悦;今世生活,只是欺骗人的享受。

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,779,621,316 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK