Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
yesu akamwambia, "binti, imani yako imekuponya. nenda kwa amani, upone kabisa ugonjwa wako."
耶 穌 對 他 說 、 女 兒 、 你 的 信 救 了 你 、 平 平 安 安 的 回 去 罷 . 你 的 災 病 痊 愈 了
maana mara kwa mara malaika alishuka majini nyakati fulani na kuyatibua. mtu yeyote aliyekuwa wa kwanza kuingia majini baada ya maji kutibuliwa, alipona ugonjwa wowote aliokuwa nao.
〔 因 為 有 天 使 按 時 下 池 子 攪 動 那 水 水 動 之 後 誰 先 下 去 無 論 害 甚 麼 病 就 痊 愈 了
kulikuwa na mwanamke mmoja kati ya lile kundi la watu, ambaye alikuwa na ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili, ingawa alikuwa amekwisha tumia mali yake yote kwa waganga, hakuna aliyefaulu kumponya.
有 一 個 女 人 、 患 了 十 二 年 的 血 漏 、 在 醫 生 手 裡 花 盡 了 他 一 切 養 生 的 、 並 沒 有 一 人 能 醫 好 他
na walipo sema wanaafiki, na wale wenye ugonjwa nyoyoni mwao: watu hawa dini yao imewadanganya. na mwenye kumtegemea mwenyezi mungu basi hakika mwenyezi mungu ni mwenye nguvu ametukuka, na mwenye hikima.
当时,伪信的人和心中有病的人都说:这等人的宗教已欺骗他们了。谁信赖真主,(谁必胜利),因为真主确是强大的,确是至睿的。