Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
walitaka ushindi ndani ya muda wa kawaida.
they wanted goals in regular play.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
familia familia yako na nitakutembelea katika likizo ya muda wa pili.
great your family and i will come to visit you in holidays of second term.
Laatste Update: 2018-04-14
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
baadhi ya matokeo huenda yakakosa kupewa uzito nayo matokeo ya muda mrefu hayawezi kutathminiwa katika uchanganuzi huu.
some outcomes might be underestimated, and long-term outcomes cannot be assessed in this analysis.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
baadhi ya watu wanaamini kuwa, huu ni mwanzo wa mabadiliko barani afrika na ni muda wa kuwaondoa viongozi wazee na kuwapa nafasi vijana walipeleke bara la afrika kwenye mafanikio zaidi.
some people believe this is the beginning of change in africa and its time to get rid of the overly old leaders and allow young people to take the continent forward.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
baadhi ya vifaa vya michezo vya mipangilio iliyolindwa na nenosiri ambalo wazazi wanaweza kutumia kuweka mipaka ya muda gani na lini watoto wanaweza kucheza.
baadhi ya vifaa vya mchezo vina mipangilio iliyolindwa na nenosiri ambayo wazazi wanaweza kutumia kuweka mipaka ya muda gani na lini watoto wanaweza kucheza.
Laatste Update: 2022-09-15
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
baada ya muda wa saa tatu hivi, mke wake, bila kufahamu mambo yaliyotukia, akaingia mle ndani.
and it was about the space of three hours after, when his wife, not knowing what was done, came in.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
baada ya muda wa kuosha mikono ikukamilika, mikono hupanguswa kwa nguo iliyofishwa vimelea na gauni ya upasuaji kuvaliwa.
after hand-washing is completed, the hands are dried with a sterile cloth and a surgical gown is donned.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
je, wanannchi wa thailand wana hamasa yoyote ya kufanya uchaguzi kwa mara ya pili ndani ya muda wa chini ya miezi sita?
are thais excited to be going to the polls for the second time within the span of less than six months?
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
madhara ya muda mrefu kwa watu waliopona hayajulikana bado, lakini kuna ushahidi wa kupungua kwa uwezo wa mapafu katika baadhi ya wagonjwa waliopona.
long-term effects for people who have recovered remain unclear, but there is evidence of reduced lung capacity in some recovered patients.
Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
baadhi ya watu walilalama kuwa, hawawezi kupata muda wa kutosha kutoka kazini na kwenda kuwatembelea wazazi wao hata kama wangekuwa tayari kufanya hivyo, wakati wengine wanafikiri kuwa, sheria hiyo ilianzishwa kwa lengo la kuimarisha hali mbaya iliyopo ya mfumo wa posho ya uzeeni nchini china.
some complained that they can't get enough time off from work to visit their parents even if they wanted to, while others thought that the law was introduced to make up for china's brewing pension issue.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
Enkele menselijke vertalingen met lage relevantie werden verborgen.
Toon lage-relevantie resultaten.