Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
wengine walisifu uzuri wa picha hiyo na tafsiri yake kwa mapinduzi ya kiutamaduni.
others praised the beauty of it and its revolutionary sense.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
simulizi hii inatoa masomo yenye utofauti na tafsiri kuhusu historia ya china na siasa.
the story offers a diverse readings and interpretations on the chinese history and politics.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
tangazo kwa njia ya video linapatikana likiwa na tafsiri kwa maandishi ya kiingereza, na katika lugha kadhaa.
the video announcement is available with subtitles in english, and a number of languages.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
wala hawatakuletea mfano wowote, ila na sisi tutakuletea (jawabu) kwa haki, na tafsiri iliyo bora.
and (there is another wisdom in this: whenever they brought to you an odd thing (or a strange question), we sent its right answer to you in time and explained it all in the best manner,
Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
tafadhali sambaza habari hizi kwa kila unayemfahamu, na tafsiri habari hizi kwa lugha nyinginezo.(tafadhali tuma tafsiri yako kwenye sehemu ya maoni ya bandiko hili, na nitaiongeza kwenye orodha).
please share the news to everyone you know, and translate it to other languages. (please post the translation in the comment of this post, i'll add it in).
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
katika hotuba yake wakati wa mahafali yaliyofanyika mei 5, 2013, rais obama alisema , ” sisi siyo kusanyiko la watu tusiofahamiana… tunaunganishwa pamoja kwa kanuni mbalimbali za maisha, sheria na makubaliano.” makala ya mtumiaji huyo ajiitaye ”kujifanya nipo new york”, pamoja na tafsiri ya hotuba ya rais obama, iliwavutia zaidi ya watu 30,000 walioendelea kutwiti makala hii pamoja na maoni takribani 6,000 kwa muda wa siku mbili.
in his commencement speech on may 5, president obama said, ”we are not a collection of strangers…we are bound to one another by a set of ideals and laws and commitments.” ”pretending to be in new york’s” post, together with his translation of the speech, attracted over 30,000 retweets and nearly 6,000 comments in about two days.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Enkele menselijke vertalingen met lage relevantie werden verborgen.
Toon lage-relevantie resultaten.