Vraag Google

Je was op zoek naar: kiongoi wa wazee wa kanisa (Swahili - Engels)

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

Papa Nchini Kameruni (2): Wazee Wa Kanisa, Upotofu na Siasa

Engels

The Pope in Cameroon (2): Of Clerics, Corruption and Politics · Global Voices

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

Wape wazee wa namna hii muda wako mdogo.

Engels

Just give them a little bit of your time.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

Kesho yake Paulo alikwenda pamoja nasi kumwamkia Yakobo, na wazee wote wa kanisa walikuwako pia.

Engels

And the day following Paul went in with us unto James; and all the elders were present.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

Basi, wakafanya hivyo na kupeleka mchango wao kwa wazee wa kanisa kwa mikono ya Barnaba na Saulo.

Engels

Which also they did, and sent it to the elders by the hands of Barnabas and Saul.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

Ikulu inaeleza kuwa wote Dkt Bingu wa Mutharika na Chimombo ni waumini wa kanisa Katoliki la Roma.

Engels

State House says that both Dr Bingu wa Mutharika and Chimombo are devout Roman Catholics.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

Je, yuko mgonjwa kati yenu? Anapaswa kuwaita wazee wa kanisa, nao watamwombea na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana.

Engels

Is any sick among you? let him call for the elders of the church; and let them pray over him, anointing him with oil in the name of the Lord:

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

Kutoka Mileto Paulo alituma ujumbe kwa wazee wa Efeso wakutane naye.

Engels

And from Miletus he sent to Ephesus, and called the elders of the church.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

Maana wazee wa kale walipata kibali cha Mungu kwa sababu ya imani yao.

Engels

For by it the elders obtained a good report.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

Nilipokwenda Yerusalemu makuhani wakuu na wazee wa Wayahudi walimshtaki na kuniomba nimhukumu.

Engels

About whom, when I was at Jerusalem, the chief priests and the elders of the Jews informed me, desiring to have judgment against him.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

Nilikuacha Krete ili urekebishe yale mambo ambayo hayakuwa yamekamilika bado, na kuwateua wazee wa kanisa katika kila mji. Kumbuka maagizo yangu:

Engels

For this cause left I thee in Crete, that thou shouldest set in order the things that are wanting, and ordain elders in every city, as I had appointed thee:

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

Askofu wa zamani wa kanisa Katoliki, Fernando Lugo, hivi karibuni aliapishwa kama rais mpya wa Paraguai, tarehe 15 Agosti.

Engels

A former Roman Catholic bishop, Fernando Lugo, was recently sworn in as the new president of Paraguay on August 15.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

Kulipopambazuka, makuhani wakuu wote na wazee wa watu walifanya mashauri juu ya Yesu wapate kumwua.

Engels

When the morning was come, all the chief priests and elders of the people took counsel against Jesus to put him to death:

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

The Pinoy Catholic anatoa msimamo unaofanana na ule wa viongozi wa kanisa na kwa nguvu zote anapendekeza kuwa elimu ya ngono ibaki kuwa jukumu la wazazi.

Engels

The Pinoy Catholic echoes the official stand of the local clergy and adamantly suggests that sex education should be left to the parents.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

Viongozi wa kanisa hawapaswi kuchagua kufanya karamu na wale walio madarakani, matajiri na wenye nguvu.

Engels

Church leaders must not choose to dine only with those in power, the rich, and the powerful.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

Wakati huo makuhani wakuu na wazee wa watu walikutana pamoja katika ukumbi wa Kayafa, Kuhani Mkuu.

Engels

Then assembled together the chief priests, and the scribes, and the elders of the people, unto the palace of the high priest, who was called Caiaphas,

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

Kwenye upande mwingine, Voice of the Oppressed anajiuliza kama wazee wa kanisa hasa wale wa Kameruni wana maadili ya kutaka mabadiliko kutoka kwa wale wanaotawala nchi wakati wao wenyewe sio mifano angavu:

Engels

On the other hand, Voice of the Oppressed wonders if the clergy particularly in Cameroon has the moral high ground to demand change from those who govern the country when they themselves are not shinning examples:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

Hapo, Petro, akiwa amejawa na Roho Mtakatifu, akawaambia, "Viongozi na wazee wa watu!

Engels

Then Peter, filled with the Holy Ghost, said unto them, Ye rulers of the people, and elders of Israel,

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

Hivi karibuni rais wa Paraguai Fernando Lugo alikiri kuwa yeye ni baba mzazi wa mtoto wa Viviana Carillo, mtoto ambaye alitungwa wakati Lugo akiwa bado ni askofu wa Kanisa Katoliki la Roma.

Engels

Paraguayan President Fernando Lugo recently admitted that he is the father of Viviana Carillo's son, who was conceived when Lugo was still a Roman Catholic bishop.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

Babangu alikuwa mgonjwa kwa buda wa miaka miwili sasa na kulikuwa na mikutano ya Wazee wa clan yetu mara kadha,hatujawahi kukuona kwa hizo mikutano na hatukupata ata apology kutoka kwako,sasa tunakuomba tu usiwahi kukanyanga plot yetu

Engels

My father was ill for two years now and there were meetings of the Elders of our church several times, we have never seen you at those meetings and we have not received any apology from you, now we just ask you never to tread on our plot

Laatste Update: 2020-11-10
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

Kampeni ya KUKUMBATIA inawahamasisha vijana kuwapigia simu, kusikiliza uzoefu wa wazee na kuwauliza siku yao imeendaje na shiriki masimulizi yako na rafiki yako mzee.

Engels

The HUG Campaign encourages you to simply give a call, listen to experiences, ask how the day was and share your stories with your elder friend.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Krijg een betere vertaling met
4,401,923,520 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentieWij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK