Je was op zoek naar: madaha (Swahili - Engels)

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

“sasa unalo anga zima kucheza kwa madaha kwa staili ya kutembea mwezini…”

Engels

"you now have the whole sky to moonwalk on..."

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

wakati huo kulikuwa na matumaini ya kesho mpya, ilikuwa ni mwendo wa madaha kuelekea kwenye dira iliyofifia iliyopachikwa jina la ‘mwamko wa wastani wenye kuongozwa na fikra pevu’ na ama kwa hakika hatua muhimu katika kuiondolea jamii gonjwa lililogeuka kuwa janga, yaani, rushwa.

Engels

it was then the promise of a new tomorrow; it was then a romantic walk towards the faint vision labeled as the 'enlightened moderation' and definitely a step towards the ridding society of a plague called corruption.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

venuste, aliyeonekana kuwa na umri wa kati ya miaka 50 hadi 60, huku akitembea kwa mwendo wa madaha, aliusimulia umati uliojazana jinsi gani familia yake na majirani zao walivyoamua kukimbilia katika kituo kilichokuwa karibu cha l’ecole technique officielle, wakitumaini kwamba hapo pangekuwa na usalama kwao kwa kuwa kulikuwa na kikosi kidogo cha wabelgiji chini ya umaja wa mataifa.

Engels

venuste, who looked to be in his 50s or 60s, with a dignified bearing, proceeded to tell the hushed crowd how his family and neighbors decided to take refuge at the nearby l’ecole technique officielle, thinking that might be a safe refuge because of the small contingent of belgian united nations soldiers stationed there.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
4,401,923,520 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentieWij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK