Vraag Google

Je was op zoek naar: mihemko ya mapenzi (Swahili - Engels)

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

picha zenye maneno mazuri ya mapenzi

Engels

pictures with beautiful expressions of affectionv

Laatste Update: 2019-10-20
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

Au hata kujua maana ya “mapenzi ya kweli”.

Engels

Or even know the meaning of "true love".

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

Bila shaka, hii ni hadithi ya mapenzi isiyo na kifani mwaka huu!!!

Engels

This has to be the love story of the year!!!!!

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

Na sisi tuko thabiti mbele ya Mungu kwani tuna hakika kwamba tukimwomba chochote kadiri ya mapenzi yake, yeye hutusikiliza.

Engels

And this is the confidence that we have in him, that, if we ask any thing according to his will, he heareth us:

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

Slumdog Millionaire haiwezi kuzikaribia filamu za orodha-A za Bollywood ukichukulia uzoefu wake katika maudhui ya mapenzi yanayoshinda fedha.

Engels

Slumdog Millionaire is nowhere near the A-list of Bollywood movies given it’s simple tried-and-tested theme of love over money.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

Hii ni hadithi ya kusisimua ya mapenzi kati ya Sam, anayetoka Kibera, makazi ya masikini kwenye jiji la Nairobi, Kenya, na Alissa, anayetoka Minnesota, Marekani:

Engels

This is a fascinating love story between Sam from Kibera, a slum in the city of Nairobi, Kenya and Alissa from Minnesota, USA:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

Na kwenye mada ya mapenzi na Valentini, Untold Damascene Stories, blogu ya jarida la FW, linachapisha taarifa kuhusu kukua kwa u-biashara wa siku ya wapendanao kwenye mitaa ya Dameski:

Engels

And on the topic of love and Valentines, Untold Damascene Stories, the blog of FW Magazine, publishes a report about the commercialization of Valentine's Day on the streets of Damascus:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

Mapenzi chenga Yakikupiga unasurrender Na wengi wakipendwa Wanasahau kuna kutendwa Mapenzi chenga Yakikupiga unasurrender Na wengi wakipendwa Wanasahau kuna kutendwa Wapi mkandarasi wa moyo Wa ukuta wa mapenzi unadondoka Kinacho ponza wengi ni moyo Wakikalia kuti kavu wanadondoka Wapi mkandarasi wa moyo Wa ukuta wa mapenzi unadondoka Kinacho ponza wengi ni moyo Wakikalia kuti kavu wanadondoka Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Tena tochi ya mapenzi isinimulike Nimeyaona bayana Ndo maana sitaki kukumbuka ya jana Alivyonidanganya Moyo wangu ukapiga danadana nimeyaona bayana ndo maana sitaki kukumbuka ya jana alivyonidanganya moyo wangu ukapiga danadana Kwani nini za mapendo ila yakaniteka mapenzi Tena nilimweka moyoni ila akaniona mshenzi Unaweza sema pesa ndiyo breki ila mapenzi hayasomeki Umemteka kwa mali na cheki Kumbe vyombo anakula muuza magazeti Unayemwita bebi anaweza bebwa kama beki Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji Unayemwita bebi anaweza akabebwa kama beki Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Tena tochi ya mapenzi isinimulike

Engels

I'm afraid of being invent

Laatste Update: 2019-12-21
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

Inavyoonekana, ni ndefu ndefu, anasema mwandishi wa makala kutoka Kuwait Khulood Al-Khamis, ambaye aliwastua wasomaji kwa barua yake ya mapenzi aliyoandika kwa kiongozi wa ugaidi, ambaye aliuwawa na Marekani, huko Abbottabad, Pakistan, wiki iliyopita.

Engels

Apparently, a long beard, admits Kuwaiti female columnist Khulood Al-Khamis, who stunned readers with a love letter she wrote for the terror mastermind, who was killed by the US, in Abbottabad, Pakistan, this week.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem

Swahili

Siku chache baada ya matokeo hayo kutandazwa, vyombo vya habari nchini humo viligundua kwamba serikali inasemekana ililipa shirika moja la mahusiano ya umma lenye makazi yake nchini Marekani shilingi milioni 614 za Uganda (sawa na $206,000, au euros 174,000) "kuitengeneza vizuri taswira ya Uganda" baada ya mtafaruku ulioenea duniani kote kufuatia sheria inayofanya mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja kuwa kosa la jinai linaloadhibiwa kwa kifungo jela kwa baadhi ya mazingira.

Engels

A few days after the poll results were released, Ugandan media revealed that the government had reportedly paid a US public relations firm 614 million Ugandan shillings ($206,000, 174,000 euros) "to prop up Uganda's image" after it took a hit internationally thanks to a law that criminalized same-sex relations with life in prison in some cases.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Referentie: Anoniem
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Krijg een betere vertaling met
4,401,923,520 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentieWij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK