Je was op zoek naar: mitano (Swahili - Engels)

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Engels

Info

Swahili

miaka mitano?

Engels

#oscarpistorius 5 years?

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

mwanafunzi ana umri wa miaka mitano

Engels

alice is in senior five

Laatste Update: 2024-03-31
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

pap kimekuwa madarakani kwa miongo mitano.

Engels

pap has been in power for five decades already.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

maisha ya mtu yana thamani ya miaka mitano?!

Engels

is somebody only worth 5 years?! #oscarpistorius — stefanie ship (@stefanieshipman) october 21, 2014

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

hata hivyo, hukumu hiyo iliahirishwa kwa miaka mitano.

Engels

but his sentence was suspended for five years.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

miaka mitano sasa tangu umetutoka endelea kupumzika kwa amani

Engels

rest in peace my dear friend

Laatste Update: 2023-10-09
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

naye akamwambia pia: nawe utakuwa na madaraka juu ya miji mitano.

Engels

and he said likewise to him, be thou also over five cities.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

mnamkumbuka binti wa miaka mitano aliyebakwa huko lahore, mwaka jana?

Engels

remember that five-year-old girl who was raped in lahore, last year?

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

chile: mitikisiko isiyopungua mitano ilitokea baada ya tetemeko hilo kubwa.

Engels

chile: at least five 5-magnitude aftershocks after powerful earthquake.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

lakini wao wakamwambia, "tunayo mikate mitano tu na samaki wawili."

Engels

and they say unto him, we have here but five loaves, and two fishes.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

nini kimeharibika kwenye dunia hii ambapo unamwua mtu na kuishia kuhukumiwa miaka mitano jela?

Engels

what is wrong with this world in that you kill someone & only get 5 years imprisonment?!

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

mfumo wa mihula miwili ya miaka mitano mitano utakuwa ni mwanzo wa kutengeneza miungu wa bati.

Engels

a two five year period will be the beginning of creation of tin gods.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

anatumikia kifungo cha miaka mitano jela baada ya kutiwa hatiani katika mashitaka ya ugaidi mwezi januari 2012.

Engels

she is serving a five-year sentence after she was found guilty on terrorism charges in january 2012.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

bado, hata hivyo miaka mitano ni nafadhali itumike kwa kuihudumia jamii, jambo ambalo nadhani ndilo jaji alilomaanisha

Engels

still, 5 yrs is better than community service, which is where the judge seemed headed. #oscarpistorius @cbsnewyork — kk smith (@sassy_kk) october 21, 2014

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

@adelmarzooq: milipuko mitano isiyo halisi na tangazo kwamba wa-asia wameuawa sio taratibu.

Engels

@adelmarzooq: five imaginary explosions and an announcement that asians have been killed is not haphazard.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

hukumu ilihitimisha uchunguzi wa karibu miaka mitano ya kikosi ambacho sasa kimevunjwa cha kuapambana na uhalifu nchini afrika kusini kinachojulikana kama scorpions.

Engels

the conviction ended an investigation of almost 5 years by the now disbanded, elite crime fighting squad in south africa known as the scorpions.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

@kkaaria: intani, miaka mitano tangu muanze kazi, mtatambua kuwa mlikuwa hamjui mambo mengi.

Engels

@kkaaria: interns, 5 years into your career, you will realize how little you actually knew when you started off. be patient.. #payinterns @terryannechebet: my two cents to the #payinterns.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

akaunti ya twita na ya facebook ni kinyume cha sheria, faini ya sarafu 5,000 au kifungo jela hadi miaka mitano na kisichozidi miaka saba au vyote viwili kwa pamoja

Engels

my twitter & facebook are illegal,the fine of five thousand currency points or imprisonment of a min. of 5 years & a maxi of 7 years or both — dr. frank mugisha (@frankmugisha) february 24, 2014

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Swahili

mchangiaji mwingine anayejiita zambia taifa lililolaaniwa: miaka mingine mitano iliyopotea bure, anamshauri sata kushunghulika na benki kuu kimya kimya:

Engels

another contributor calling him/herself 'zambia a cursed nation: another 5 years wasted', advised sata to quietly deal with the central bank:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

katika nchi ya madagaska, suala la afya ya jamii imeonekana kuathiri zaidi makundi mawili: watoto walio na umri chini ya maika mitano na wanawake wajawazito.

Engels

two groups in madagascar are particularly vulnerable in terms of public health: children younger than five, and pregnant women.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
8,449,052,449 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK