Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
pumba ya mpunga
wheat flour
Laatste Update: 2020-01-15
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
lakini watu wakiwa wamelala, adui yake akaja akapanda magugu kati ya ngano, akaenda zake.
but while men slept, his enemy came and sowed tares among the wheat, and went his way.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
unachopanda ni mbegu tu, labda ya ngano au nafaka nyingine, na si mmea mzima ambao hutokea baadaye.
and that which thou sowest, thou sowest not that body that shall be, but bare grain, it may chance of wheat, or of some other grain:
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
siku moja ya sabato, yesu alikuwa anapita katika mashamba ya ngano. walipokuwa wanatembea, wanafunzi wake wakaanza kukwanyua masuke ya ngano.
and it came to pass, that he went through the corn fields on the sabbath day; and his disciples began, as they went, to pluck the ears of corn.
Laatste Update: 2024-04-14
Gebruiksfrequentie: 2
Kwaliteit:
Referentie:
kweli nawaambieni, punje ya ngano hubaki punje tu isipokuwa ikianguka katika udongo na kufa. kama ikifa, basi huzaa matunda mengi.
verily, verily, i say unto you, except a corn of wheat fall into the ground and die, it abideth alone: but if it die, it bringeth forth much fruit.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
siku moja ya sabato, yesu alikuwa anapita katika mashamba ya ngano, na wanafunzi wake wakaanza kukwanyua masuke ya ngano, wakaondoa punje zake kwa mikono, wakala.
and it came to pass on the second sabbath after the first, that he went through the corn fields; and his disciples plucked the ears of corn, and did eat, rubbing them in their hands.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
wakati huo, yesu alikuwa anapita katika mashamba ya ngano siku ya sabato. basi, wanafunzi wake wakaona njaa, wakaanza kukwanyua masuke ya ngano, wakala punje zake.
at that time jesus went on the sabbath day through the corn; and his disciples were an hungred, and began to pluck the ears of corn, and to eat.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
hata hivyo, mtindo wa ajira wa kijapani, ambao upo katikati ya ngano hii, umebadilishwa kutokana na ongezeko la ajira holela na sababu nyingine, na idadi inayoongezeka ya wajapani wanaishi katika umaskini.
however, japanese-style employment, which is at the heart of this myth, has been transformed by the increase in nonregular employment and other factors, and a growing number of japanese live in poverty.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie:
kisha akamwuliza mdeni mwingine: wewe unadaiwa kiasi gani? yeye akamjibu: magunia mia ya ngano. yule karani akamwambia: chukua hati yako ya deni, andika themanini.
then said he to another, and how much owest thou? and he said, an hundred measures of wheat. and he said unto him, take thy bill, and write fourscore.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Referentie: