Je was op zoek naar: kuwanyamazisha (Swahili - Spaans)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

Swahili

Spanish

Info

Swahili

kuwanyamazisha

Spanish

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Swahili

Spaans

Info

Swahili

hofu hiyo imekuwa kubwa kufuatia majaribio ya zamani aliyoyafanya neves kuwanyamazisha wapinzani wa utawala wake kwenye mitandao ya kijamii.

Spaans

las sospechas se han visto avivadas por los varios intentos pasados de neves de acallar las críticas a su liderazgo en los medios sociales.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

makala iliyoandikwa na asasi ya electronic frontier foundation inaonesha kuongezeka kwa juhudi za kuwanyamazisha wanaharakati wa mtandaoni pamoja na watumiaji wa jumla wa mitandao hiyo wanaoishi ethiopia.

Spaans

un artículo de la electronic frontier foundation muestra los crecientes intentos de silenciar activistas en línea e internautas en etiopía.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

katika nchi kama bahrain, imekuwa ni kawaida kwa utawala huo wa kikatili kuwafanyia unayama na wakati mwingine kuwanyamazisha wale wote wanajihusisha na mapambano ya kisiasa kudai uhuru na usawa.

Spaans

en un país como bahréin, el régimen ha tenido éxito en hacer normales y esconder sus crímenes contra quienes están involucrados en la lucha política por la libertad e igualdad.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

kadri vurugu kali kati ya wanaharakati wa kiislamu na serikali zinaendelea kuongezamvutano wa kidini nchini bangladeshi, mamlaka ya mawasiliano ya bangladeshi inaweka juhudi za kuwanyamazisha wanablogu wakiwadhania kuwa wapo kinyume na uislamu au kinyume na serikali.

Spaans

mientras los mortales enfrentamientos entre los activistas islámicos y las autoridades siguen aumentando las tensiones religiosas en bangladesh, las autoridades de telecomunicaciones del país están llevando a cabo maniobras para silenciar a los blogueros considerados anti-musulmanes o anti-estado.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

baada ya miaka 26 ya mapambano, baada ya kuua mamia ya maelfu, baada ya kuwanyamazisha wale walioipinga serikali na waasi wa ltte kwa kuwaua, mateso na watu kupotea, sasa itakuwaje kwa watu wa tamil?

Spaans

después de 26 años de lucha, después de desplazar y matar a miles de miles, después de silenciar a los que discrepaban con el gobierno y el ltte por medio de asesinatos, torturas y desapariciones, ¿ahora qué con el pueblo tamil?

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

alikuwa anamaanisha hatua ya serikali ya bahrain kutumia mabomu ya machozi ya ki-brazili kuwanyamazisha waandamanaji kwa kutumia nguvu (tahadhari, kiungo kina maudhui yenye kutisha).

Spaans

en realidad, se estaba refiriendo al uso de gas lacrimógeno de origen brasileño (precaución, el enlace contiene imágenes no aptas para público sensible) de parte del gobierno de bahréin para dispersar a los manifestantes de manera violenta.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Swahili

@mohammedy: kwa waandishi walio misri na ulimwengu wa kiarabu: waandishi wa habari wanaofanya kazi katika islamonline wanatendewa vibaya na uongozi wao mpya ili kuwanyamazisha kutoa matamko dhidi ya vitendo vibaya vya uendeshaji kampuni. @mohammedy: kwa hiyo, pale wafanyakazi wanapotia saini maelezo kuhusu matatizo yanayowakabii, basi uongozi unawaweka wafanyakazi chini ya uchunguzi.

Spaans

@mohammedy: para los periodistas en egipto y el mundo Árabe: periodistas @#islamonline están siendo intimidados por la nueva administración para silenciar las malas prácticas de la compañía. @mohammedy: cuando los trabajadores firmaron un petitorio afirmando sus problemas, la administración los puso bajo investigación.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,724,555,804 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK