Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
det iranske islamiske regime har ignoreret kvindernes internationale kampdag i mere end tre årtier.
utawala wa kiislamu wa iran umepuuza siku ya wanawake duniani kwa zaidi ya miongo mitatu.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
dramaet udspillede sig på direkte tv og blev sendt af lokale og internationale tv-stationer.
ilikuwa kama mchezo wa kuigiza na ulionekana moja kwa moja kwenye televisheni, na ulirushwa kwa moja kwa moja na vituo vya televisheni vya ndani na vile vya kimataifa.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
dette er en større milepæl for det internationale retssystem, for den demokratiske republik congo (drc) og for videoer brugt til forandring.
hii ni hatua kubwa muhimu katika historia ya utafutaji haki kimataifa, kwa wahanga walio nchini kongo (drc) na kwa mpango wa matumizi ya picha za video kwa ajili ya kuleta mabadiliko.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
den 14. maj 2012 erklærede den internationale straffedomstol thomas lubanga, en tidligere oprørsleder i det østlige congo, skyldig i at bruge børn i væbnet konflikt – en krigsforbrydelse.
mnamo tarehe 14 machi, 2012, mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ilimtia hatiani thomas lubanga, kiongozi wa zamani wa waasi huko kongo mashariki, kwa kuwatumia watoto katika mgogoro wa kivita – jambo linaloangukia miongoni mwa makosa ya kivita.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
disse børn, som ikke har ret til at vokse op i et tillidsfuldt miljø og som har været tvunget til at stå ansigt til ansigt med grusomheder fra barnsben af, udvikler ofte en overbevisning om, at vold er en ligeså god metode som nogen anden til at løse uenigheder, og det er derfor svært for dem at sende et budskab om fred og international sikkerhed til fremtidige generationer.
kiuhalisia, katika mazingira haya, mahitaji yote muhimu kwa ukuaji wa watoto yameharibiwa, , and the psychological damages of armed conflicts are incalculable.... waototo hawa, wanaoshindwa kukua katika mazingira mazuri na badala yake wanakabiliana na matukio ya ukatili wakiwa na umri mdogo kabisa, mara nyingi wanajijengeaa dhana ya kwamba vurugu ni njia kama zilivyonjia njia nyingine za kutatua migogoro, na kwa hiyo inakuwa vigumu sana kwao kutuma ujumbe wa amani na ulinzi wa kimataifa kwa vizazi vijavyo.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: