Pergunte ao Google

Você procurou por: fervent (Inglês - Suaíli)

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Inglês

Suaíli

Informações

Inglês

Not slothful in business; fervent in spirit; serving the Lord;

Suaíli

Msilegee katika bidii, muwe wachangamfu rohoni katika kumtumikia Bwana.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

And above all things have fervent charity among yourselves: for charity shall cover the multitude of sins.

Suaíli

Zaidi ya yote pendaneni kwa moyo wote, maana upendo hufunika dhambi nyingi.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

This post is part of our special coverage Nigeria Elections 2011. As the 2011 Elections in Nigeria draws near, the blogosphere is fervent with loud screams.

Suaíli

Kadiri uchaguzi wa mwaka 2011 nchini Naijeria unavyozidi kukaribia, ulimwengu wa blogu umehamasika na watu wenye sauti zinazosikika.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

Confess your faults one to another, and pray one for another, that ye may be healed. The effectual fervent prayer of a righteous man availeth much.

Suaíli

Basi, ungamanianeni dhambi zenu, na ombeaneni, ili mpate kuponywa. Sala ya mtu mwema ina nguvu ya kutenda mengi.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

Looking for and hasting unto the coming of the day of God, wherein the heavens being on fire shall be dissolved, and the elements shall melt with fervent heat?

Suaíli

mkiingojea Siku ile ya Mungu na kuifanya ije upesi--Siku ambayo mbingu zitateketezwa kwa moto na kuharibiwa, na vitu vyake vya asili vitayeyushwa kwa joto.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

This man was instructed in the way of the Lord; and being fervent in the spirit, he spake and taught diligently the things of the Lord, knowing only the baptism of John.

Suaíli

Alikuwa amefundishwa juu ya hiyo njia ya Bwana, na akiwa motomoto, aliongea juu ya habari za Yesu. Akafundisha kwa usahihi ingawa alikuwa amepata ubatizo wa Yohane tu.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

But the day of the Lord will come as a thief in the night; in the which the heavens shall pass away with a great noise, and the elements shall melt with fervent heat, the earth also and the works that are therein shall be burned up.

Suaíli

Siku ya Bwana itakuja kama mwizi. Siku hiyo, mbingu zitatoweka kwa kishindo kikuu; vitu vyake vya asili vitateketezwa kwa moto, nayo dunia itatoweka pamoja na kila kitu kilichomo ndani yake.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

And not by his coming only, but by the consolation wherewith he was comforted in you, when he told us your earnest desire, your mourning, your fervent mind toward me; so that I rejoiced the more.

Suaíli

Si tu kwa kule kuja kwake Tito, bali pia kwa sababu ya moyo mliompa ninyi. Yeye ametuarifu jinsi mnavyotamani kuniona, jinsi mlivyo na huzuni, na mnavyotaka kunitetea. Jambo hili linanifurahisha sana.

Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

And when you are sailing on ships and rejoicing in the favourable wind, a storm arrives, and the waves surge upon those on board from every side and they think they are encompassed, then they make a fervent appeal to God, saying in all sincerity, "If You deliver us from this, we will surely be of the thankful."

Suaíli

Hata mnapo kuwa majahazini na yakawa yanakwenda nao kwa upepo mzuri wakaufurahia, upepo mkali ukawazukia, na yakawajia mawimbi kutoka kila upande, na wakaona wamesha zongwa, basi hapo humwomba Mwenyezi Mungu kwa kumsafishia niya: Ukituokoa na haya bila ya shaka tutakuwa miongoni mwa wanao shukuru.

Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Consiga uma tradução melhor através
4,401,923,520 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK