A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
Khalid says: I believe the that judiciary is the only legal authority which can make decisions on whether or not to ban any website
Khalid anasema: Ninaamini kwamba mamlaka ya sheria ndiyo mamlaka pekee yanayoweza kufanya uamuzi ama wa kufunga au kutofunga tovuti
Recently, Chantra questioned the role of 164 advisers of the ruling government and whether or not they have correctly advised the government on certain aspects such as health, education, judiciary, investment and the utilization of natural resource.
Hivi karibuni, Chantra alihoji jukumu la washauri 164 wa chama kilicho madarakani kama wameshaishauri kwa makini serikali katika mambo fulani kama vile ya afya, elimu, mahakama, uwekezaji na mali asili.
Egyptians witnessed the most unexpected verdict in the history of their judiciary system: Billionaire Hesham Talaat Moustafa, along with his hired hitman Mohsen El Sokary, have both been sentenced to death for their roles in the murder of Lebanese singer Suzanne Tameem.
Wamisri walishuhudia hukumu isiyotarajiwa katika historia ya vyombo vya sheria nchini humo: Bilionea Hesham Talaat Moustafa, pamoja na mamluki wake (mpiga risasi wa kukodi) Mohsen El Sokari wamehukumiwa adhabu ya kifo kutokana na kuhusika kwao katika mauaji ya mwimbaji wa Kilebanoni Suzanne Tameem.
#swazijustice is a campaign calling for the release of Bheki Makhubu, editor of the Nation magazine and Thulani Maseko, a human rights lawyer, who were jailed in Swaziland for two years for writing an article critical of the judiciary in the country.
#swazijustice ni kampeni inayotoa wito wa kuachiliwa huru kwa Bheki Makhubu, mhariri wa gazeti la Taifa na Thulani Maseko, mwanasheria wa haki za binadamu, ambao walifungwa jela nchini Swaziland kwa miaka miwili kwa sababu ya kuandika makala kukosoa mfumo wa mahakama nchini humo.
@Gsquare86: Chaos breaks out inside court and chanting “people demand the independence of judiciary” chanting “Fraud!” #MubarakTrial
@Gsquare86: Vurumai zilizuka ndani ya hakama na umati uliimba "watu walidai uhuru wa koti elekezi" wakiimba "Ulaghai" #ManzaYaMubarak
Crucial will be how these attacks will be framed in the next few hours and especially how the Kenyan state will respond (already they’ve blamed the judiciary and in the past they’ve round up Somalis despite little evidence).
Tusichokijua ni namna gani mashambulizi haya yataelezewa ndani ya masaa machache yajayo na namna gani serikali ya Kenya itashughulikia janga hili (tayari wanalaumu mahakama na siku za nyuma waliwahusisha wa-Somali pamoja na kuwa na ushahidi mdogo).
Deadpan Thoughts quite easily summarizes the roller coaster of rumors in one sentence saying "The phone beeps - Mushy’s being impeached..go put on GEO ..NOW". Some had us believing that this outgoing chap would go down fighting while some on the other hand conspired for the restoration of judiciary as his last vengeance but in the end it fizzled out to be a valiant outgoing speech, throwing in the towel before his tearful adios which Siam's Blog shares 'A grim-faced Musharraf backed by Pakistani flags and a portrait of the country's founder' to say "I leave my future in the hands of people."
Gazeti tando moja linalokwenda kwa jina la linatupa muhtasari makini kuhusu msukumo wa minong’ono hiyo katika sentenso moja: 'Simu inaita – Mushy anaondolewa madarakani kwa manufaa ya umma … tazama GEO (kituo kimoja cha televisheni) … SASA hivi' Wapo waliotuaminisha kwamba huyu jamaa anayekwenda zake angejaribu kujitetea ili abaki madarakani, wapo waliotabiri kwamba huenda angerejesha mfumo wa mahakama kama njia yake pekee ya kujinusuru na kulipiza kisasi; kinyume chake hali imegeuka kuwa hotuba ya kuagia, akiachia mambo mbele ya watu wake wa karibu waliokuwa wakilengwalengwa na machozi, hali ambayo tunahabarishwa kupitia kwamba ‘akiwa amevaa uso usio na tabasamu Musharraf, huku akipepewa na bendera za Pakistani nyuma yake na picha ya ‘mwanzilishi’ wa taifa hili aliishia kusema “Naweka hatma yangu mikononi mwa umma.”
Individual activism often starts with a goal of solving personal problems, which is legitimate, as many others might be concerned by the same issue (in this case the non-functioning of the Macedonian judiciary resulting in "unjust" justice).
Uanaharakati binafsi mara nyingi huanza kwa lengo la kutatua tatizo binafsi, jambo ambalo ni sahihi, kama ambavyo wengine wengi wanaweza kuwa wanaguswa na jambo lile lile (kwa mukhtadha huu utendaji usioridhisha wa mfumo wa kimahakama wa Kimasedonia unaosababisha haki 'isiyo haki').
South African economists immediately came out to dismiss his assertion, arguing that the South African state does not meet the factors that define a "failed state" such as widespread civil unrest, dysfunctional civil society, absence of an independent judiciary and a lack of protection for private property.
Muda mfupi baadae, wataalamu wa Uchumi nchini Afrika Kusini walijitokeza kukanusha matamashi hayo, wakisema kuwa nchi ya Afrika Kusini haina vigezo vyovyote vya kuitwa "taifa lililokwama kiuchumi" kama vile ghasia zilizoenea za wenyewe kwa wenyewe, kutokufanya kazi kwa asasi za kiraia, kutokuwepo kwa mhimili wa mahakama unaojitegemea na kutokuwepo kwa ulinzi wa mali za watu.
There is no democracy without freedom of expression...and no constitutional democracy which blocks websites...and it is not right to ban those sites through administrative orders which are arbitrary and which are taken by members of the executive authority, the judiciary and National Security Apparatus...It is not correct for these authorities to intertwine and work together and if they do...where is the separation between the different branches?
Hakuna demokrasi bila ya uhuru wa kujieleza… na hakuna demokrasi ya kikatiba inayozuia tovuti… na si haki kufunga tovuti kupitia amri za kiholela za serikali ambazo hupitishwa na mamlaka ya serikali, mamlaka ya sheria na usalama wa taifa… si sahihi kwa mamlaka haya kuingiliana na kufanya kazi pamoja kama wanavyofanya… kuna utofautishaji upi kati ya matawi ya mamlaka haya?