Pergunte ao Google

Você procurou por: tourists (Inglês - Suaíli)

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Inglês

Suaíli

Informações

Inglês

tourists

Suaíli

vijijini na mijini

Última atualização: 2016-06-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Inglês

The tourists are eating rice in a hurry

Suaíli

watalii wale wanakula wali kwa kisamvu

Última atualização: 2021-05-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Inglês

The bakery is a popular spot with foreign tourists.

Suaíli

Tanuri hilo la mikate ni maarufu kwa watalii kutoka nje.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Inglês

The blast area is near the Osho Ashram frequented by tourists another similarity to the Mumbai 2008 blasts.

Suaíli

• Eneo la mlipuko lipo karibu na eneo la utawa la Osho linalitembelewa sana na watalii, jambo ambalo linafanana na mlipuko wa Mumbai.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Inglês

Nominated Senator, Mbura allegedly asked women in the coastal region to go topless so that more tourists can visit the region.

Suaíli

Seneta mteule, Mbura anasemekana kuwaomba wanawake katika mkoa wa pwani kutembea nusu uchi ili kuwavutia watalii zaidi kuzuru eneo hilo.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Inglês

The palace features exhibitions for tourists, though other areas house government agencies, including the seat of the Turkish prime minister.

Suaíli

Kasri hili ni eneo muhimu kwa ajili ya watalii, pamoja na kuwa maeneo mengine yanatumiwa na taasisi za serikali ikiwa ni pamoja na makazi ya Waziri Mkuu wa Uturuki.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Inglês

The outbreak was confirmed to have spread to Italy on 31 January, when two Chinese tourists tested positive for SARS-CoV-2 in Rome.

Suaíli

Mkurupuko ilithibitishwa kuenea hadi Italia mnamo 31 Januari, wakati watalii Wachina wawili walipimwa na kupatikana na SARS-CoV-2 Roma.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Inglês

Tourists should stay away from crowded areas and police stations, Kabogan warned, though he said that terror groups are “not targeting tourists, but security officers.”

Suaíli

Kabogan alionya kuwa, watalii wanapaswa kuwa mbali na mikusanyiko mikubwa ya watu pamoja na kutokuwepo karibu na vituo vya polisi, pamoja na kuwa alitanabaisha kuwa, makundi ya waasi “hayawalengi watalii, bali maafisa wa usalama.”

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Inglês

A number of events involving large crowds were cancelled by national and regional governments, including annual New Year festivals, with private companies also independently closing their shops and tourist attractions such as Hong Kong Disneyland and Shanghai Disneyland.

Suaíli

Matukio mengi yanayohusisha watu wengi zilifutwa na serikali za taifa na za kanda, ikiwemo tamasha ya kila mwaka wa Mwaka Mpya, na kampuni ya kibinafsi pia zikifunga maduka yao pekee yao na kivutio cha watalii kama vile Hong Kong Disneyland na Shanghai Disneyland.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Inglês

Many Lunar New Year events and tourist attractions have been closed to prevent mass gatherings, including the Forbidden City in Beijing and traditional temple fairs.

Suaíli

Matukio mengi ya Mwaka Mpya wa Kichina na kivutio cha watalii zimefungwa kuzuia mkusanyiko ya watu wengi, ikiwemo Forbidden City Beijing na maonyesho ya asili hekaluni.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Inglês

Tourist attractions, businesses, and transportation may be closed, especially in affected countries.

Suaíli

Huenda vivutio vya watalii, biashara, na usafiri zimefungwa, hasa katika nchi zilizoathirika.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Inglês

"No to sex tourist".

Suaíli

"Hapana kwa utalii wa ngono ".

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo
Aviso: contém formatação HTML invisível

Inglês

#2010memories#FIFAscandal WTF***k who cares there was a bribe or not..we got beautiful stadiums..tourists ar still coming so wht — Lucky 1Xap sentence. (@LuckylLucky) June 11, 2015

Suaíli

Nani anajali kama rushwa ilitolewa au haikutolewa...tulipata viwanja vizuri...watalii bado wanakuja...sasa nini

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Inglês

A French tourist was killed and around 20 people were injured when a bomb exploded outside the Al Hussein Mosque in Cairo's popular tourist area Khan Al Khalili earlier today.

Suaíli

Mtalii wa Kifaransa ameuwawa na watu wapatao 20 wamejeruhiwa wakati bomu lilipolipuka nje ya msikiti wa Al Hussein uliopo katika eneo la utalii la Khan Al Khalili mjini Kairo mapema leo.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Inglês

A horde of Indian invaders and their British allies on tourist visas took home the coveted and prized Oscars as the world watched.

Suaíli

Majeshi ya wavamizi wa Kihindi pamoja na maswahiba wao wenye viza za kitalii wamenyakua tuzo inayotamaniwa na kuthaminiwa ya Oscar huku dunia ikiangalia.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Inglês

Am hearing reports of a bomb going off in the medieval part of Cairo near Khan al-Khalili, a major tourist destination.

Suaíli

Nimesikia taarifa za mabomu yanayolipuka katika mji mkongwe wa Kairo Karibu na Khan al-Khalili, sehemu maarufu kwa watalii.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Inglês

Aside from being a tourist attraction, it is also listed as an archaeological heritage building in the city.

Suaíli

Mbali na kuwa kivutio cha utalii, pia limetajwa kama jengo la urithi la mambo ya kale katika mji huo.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Inglês

At Accra's tourist market, Obama t-shirts and paintings are flying off the shelves and Ghanaians are hoping for a boost in tourism after the visit.

Suaíli

Katika soko la kitaalii la mjini Accra, fulana za Obama na michoro zinauzwa haraka kutoka kwenye safu na Waghana wanategema kupanda kwa biashara ya utalii baada ya ziara.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Inglês

At around 7:30 pm on Saturday (February 13, 2010) a bomb blast at a restaurant popular with tourists in India's western city of Pune killed 9 people and left 57 people injured.

Suaíli

Mnamo majira ya saa 1:30 jioni (Februari 13, 2010) mlipuko wa bomu uliua watu 9 na kuwajeruhi wengine 57 katika mgahawa maarufu kwa watalii uliopo katika mji wa Magharibi wa Pune, India.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Inglês

At dawn on Thursday, 4 March 2010, a massive flash flood hit Samburu in northern Kenya destroying 6 tourist lodges, some wildlife research camps and leaving thousands marooned on roof tops and on trees.

Suaíli

Alfajiri siku ya Alhamisi, tarehe 4 Machi 2010, mafuriko makubwa yaliikumba Samburu huko kaskazini mwa Kenya na kuharibu nyumba 6 za kulala watalii watalii, baadhi ya kambi za utafiti wa wanyama pori na kuwaacha maelfu wakiwa katika paa za nyumba na kwenye miti.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Referência: Anônimo

Consiga uma tradução melhor através
4,401,923,520 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK