Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
people gather at the alley in which the house where the shia were killed in cairo today.
watu wakiwa wamejikusanya katika barabara nyembamba karibu na nyumba ambayo washia hao walipouawa leo huko jijini cairo.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
memories in the rubble - as i was walking through a rubble filled alley of sankhu, i came across this photograph.
kumbukumbu katika vifusi vya majengo - nilipokuwa nikitembea katika mji mdogo wa sankhu uliosheheni vifusi vya majengo, niliiona picha hii.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
when people don't have toilets, they're forced to relieve themselves in open streets, fields, or back alleys.
pale watu wanapokosa vyoo, wanalazimika kujisaidia mitaani kweupe, kwenye viwanja au vichochoroni.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: