Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
it is no longer surprising news when the government some days shuts down public institutions due to air pollution.
hivi leo, si habari za kushangaza tena kusikia kuwa siku fulani serikali imesitisha huduma katika taasisi za serikali kwa sababu ya uchafuzi wa hewa.
due to reduced travel and closures of heavy industry, there has been a decrease in air pollution and carbon emissions.
kufuatia usafiri uliopungua na kufungwa kwa viwanda vikubwa, kumekuwa na upungufu wa uchafuzi wa hewa na uzalishaji wa kaboni.
earlier this month, the ministry of health declared that last year more than 4,400 people lost their lives because of air pollution in tehran, iran's capital.
mapema mwezi huu, wizara ya afya, ilitangaza kuwa katika mwaka uliopita zaidi ya watu 4, 400 walipoteza maisha kutokana na uchafuzi wa hewa huko tehran, mji mkuu wa iran.