A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
then came the soldiers, and brake the legs of the first, and of the other which was crucified with him.
basi, askari walikwenda, wakaivunja miguu ya yule mtu wa kwanza na yule wa pili ambao walikuwa wamesulubiwa pamoja na yesu.
they were stronger than they in power and they brake up the earth and they inhabited it with greater affluence than these have inhabited it, and their apostles came unto them with evidences.
nao walikuwa na nguvu zaidi kuliko wao, na wakaitimbua ardhi na wakaistawisha zaidi kuliko walivyo istawisha wao. na mitume wao wakawajia na dalili zilizo wazi.
and he took the seven loaves and the fishes, and gave thanks, and brake them, and gave to his disciples, and the disciples to the multitude.
akaitwaa ile mikate saba na vile visamaki, akamshukuru mungu, akavimega, akawapa wanafunzi, nao wakawagawia watu.
then he took the five loaves and the two fishes, and looking up to heaven, he blessed them, and brake, and gave to the disciples to set before the multitude.
kisha yesu akaitwaa ile mikate mitano na wale samaki wawili, akatazama juu mbinguni, akamshukuru mungu, akavimega, akawapa wanafunzi wake wawagawie watu.
and as they did eat, jesus took bread, and blessed, and brake it, and gave to them, and said, take, eat: this is my body.
walipokuwa wanakula, yesu alitwaa mkate, akashukuru, akaumega na kuwapa wanafunzi wake akisema, "twaeni; huu ni mwili wangu."
and he took bread, and gave thanks, and brake it, and gave unto them, saying, this is my body which is given for you: this do in remembrance of me.
halafu akatwaa mkate, akashukuru, akaumega, akawapa akisema, "huu ni mwili wangu, unaotolewa kwa ajili yenu. fanyeni hivi kwa kunikumbuka."
and as they were eating, jesus took bread, and blessed it, and brake it, and gave it to the disciples, and said, take, eat; this is my body.
walipokuwa wanakula, yesu akatwaa mkate, akashukuru, akaumega, akawapa wanafunzi wake akisema, "twaeni mle; huu ni mwili wangu."
(for he had commanded the unclean spirit to come out of the man. for oftentimes it had caught him: and he was kept bound with chains and in fetters; and he brake the bands, and was driven of the devil into the wilderness.)
alisema hivyo kwa kuwa yesu alikwishamwambia huyo pepo mchafu amtoke mtu huyo. pepo huyo mchafu alikuwa anamvamia mtu huyo mara nyingi, na ingawa watu walimweka ndani na kumfunga kwa minyororo na pingu, lakini kila mara alivivunja vifungo hivyo, akakimbizwa na pepo huyo mchafu hadi jangwani.