A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
monasteries were also included in those collapsed buildings.
jumba la utawa (monasteri )pia ni kati ya majengo yaliyoanguka.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
there is a hospital at tarle, but that hospital had also collapsed.
kuna hospitali kule tarle, lakini nayo iikuwa imeharibiwa vibaya.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
in june 2008, president mwanawasa collapsed at a meeting of the african union in egypt.
mwez juni 2008, rais mwanawasa alianguka akiwa kwenye mkutano wa umoja wa afrika nchini misri.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
women collapsed. heartbreaking — randa habib (@randahabib) february 3, 2015
wanawake walipoteza fahamu, pia walionesha kukata tamaa kabisa. — randa habib (@randahabib) february 3, 2015
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
the scene after a nine-storey building collapsed in savar, on the outskirts of dhaka.
muonekano wa jengo la ghorofa tisa lililo anguka huko savar, nje ya jiji la dhaka.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
our guests are sitting out in the driveway.. no serious damage here at the oloffson but many large buildings nearby have collapsed
wageni wetu wamekaa nje kwenye barabara ya gari… hakuna uharibifu mkubwa hapa oloffson lakini majengo mengi makubwa yaliyo jirani yameanguka
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
a huge hospital that was being built across from the oloffson has collapsed cars are starting to circulate..i see lights in the distance towards the wharf
hospitali kubwa iliyokuwa inajengwa mkabala na oloffson imeporomoka magari yanaanza kuzunguka.. ninaziona taa kwa mbali kuelekea dagoni
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
i'm told that parts of the palace have collapsed..the unibank here on rue capois has collapsed people are bringing people by on stretchers
nimeambiwa kuwa sehemu za kasri (ikulu) zimeanguka… unibank hapa mtaa wa capois imeporomoka watu wanawaleta watu kwa machela
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
most of the 3-storey buildings on the side of the road only has 2 stories now. many 2-storey buildings have also collapsed.
majengo mengi yaliyokuwa ya ghorofa 3 pembezoni mwa barabara hivi sasa yamebaki kuwa ya ghorofa 2 tu, mengi yameanguka.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
a few minutes later, after the referee had blown for full time, some simba players collapsed to the ground, not quite believing what they had just pulled off.
dakika chache baadae, baada ya mwamuzi kupiga kipenga kuashiria pambano kuisha, baadhi ya wachezaji wa simba walianguka uwanjani, wasiamini kilichotokea.
Última atualização: 2024-03-16
Frequência de uso: 1
Qualidade:
i hear hospital general has collapsed people are needing medical supplies..food, housing; i don't know water situation;
watu wanahitaji madawa na vifaa vya matibabu, chakula, malazi; sijui kuhusu hali ya maji
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
there were many reports by international press about the bad roads, accommodations, people and even stadiums, that collapsed or weren't even completed before the tournament.
kulikuwa na taarifa nyingi za vyombo vya habari vya kimataifa kuhusu barabara mbaya, malazi yasiyoridhisha, watu na hata viwanja ambavyo vilianguka au hata havikukaika kabla mashindano hayajaanza.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
pernille shares photos of a building that collapsed in dar es salaam, tanzania on friday, 29 march 20013: "nearby is a football field used by children.
pernille anaweka picha mtandaoni zinazoonyesha ghorofa lililoporomoka jijini dar es salaam, tanzania siku ya ijumaa, 29 machi 20013: "karibu kabisa na jengo hilo kuna uwanja wa kandanda unaotumiwa na watoto.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
as a consequence, numerous airlines have cancelled flights due to lower demand, including british airways, china eastern airlines, and qantas, while british regional airline flybe collapsed.
kutokana na hivyo, mashirika mengi ya ndege yamekatisha safari za ndege kutokana na hitaji la chini, ikiwa ni pamoja na british airways, china eastern airlines na qantas, huku shirika la kikanda la uingereza la flybe likianguka.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
according to pakistan's leading english daily dawn, the employees had taken refuge in the cold-storage facility to escape the carnage, but a wall of the warehouse collapsed trapping them.
kutoka kwenye gazeti hilo la dawn: "tumeanza operesheni mpya na tumeita vikosi vipya," alisema sibtain rizvi, msemaji wa kikosi cha jeshi cha karachi.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
@safaricomltd #beforempesa some people collapsed in long queues in banks during school opening days just waiting pic.twitter.com/6wsdtt5uhk — christine mak (@christinemak1) march 14, 2014
baadhi ya watu walizimia kwenye mistari mirefu benki wakati wa kufungua shule kwa sababu ya kuchoka kusubiri
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: