Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
any press conferences?
mkutano wowote na waandishi wa habari?
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
corporations imposed employee travel restrictions, cancelled conferences, and encouraged employees to work from home.
mashirika yaliweka vikwazo vya usafiri ya wafanyakazi, ikakatiza kongamano, na kuhimiza wafanyakazi kufanya kazi kutoka nyumbani.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
this coming week we will follow up with additional guidance on wikimania and other regional and thematic community conferences.
wiki hii ijayo tutafuatilia maelekezo ya ziada kwenye wikimania na makongamano mengine ya kimkoa na jamii ya mada.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
we're happy she'll continue not only as a volunteer contributor, but also to work on special projects and represent us at conferences.
tunafurahi kwamba ataendelea si tu kama mchangiaji wa kujitolea, lakini pia atafanya kazi nasi kwenye shughuli maalumu na kutuwakilisha kwenye mikutano.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
complaints from tv viewers across europe have been vociferous enough for the future of the plastic pest to become the major item on the agenda at the series of press conferences fifa president sepp blatter has held during the tournament in south africa.
malalamiko kutoka kwa watazamaji wa televisheni ulaya nzima yamekuwa makali sana kiasi cha kumfanya mdudu huyu wa plastiki kuwa moja ya ajenda kuu katika mikutano ya waandishi wa habari na rais wa fifa sepp blatter ambayo aliifanya wakati wa michuano huko afrika kusini.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
there is no good in much of their secret conferences save (in) him who enjoineth almsgiving and kindness and peace-making among the people.
hakuna kheri katika mengi ya wanayo shauriana kwa siri, isipo kuwa kwa yule anaye amrisha kutoa sadaka, au kutenda mema, au kupatanisha baina ya watu.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
avoid crowded areas, especially enclosed areas without much air circulation, such as conferences, performances, shopping malls, public transportation, and religious services.
epuka maeneo yenye watu wengi, hasa maeneo yaliyofungwa bila hewa ya kutosha, kama vile mikutano, maonyesho, duka kuu za ununuzi, usafiri wa umma, na ibada za kidini.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
i wish you a successful conference
nakutakia mafanikio
Última atualização: 2022-03-23
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: