Você procurou por: controlling (Inglês - Suaíli)

Tradução automática

Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.

English

Swahili

Informações

English

controlling

Swahili

 

De: Tradução automática
Sugerir uma tradução melhor
Qualidade:

Contribuições humanas

A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente

Adicionar uma tradução

Inglês

Suaíli

Informações

Inglês

somalia has not had a central government controlling the entire country since the fall of muhammad siad barre in 1991.

Suaíli

somalia haijawahi kuwa na serikali kuu inayotawala nchi nzima tangu kuanguka kwa muhammad siad barre mwaka 1991.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

2) despite claims or evidence of supporting free media, government continues to hold the leverage in controlling media with information and printing acts.

Suaíli

2) licha ya kuwepo madai au ushahidi wa kuunga mkono uwepo wa vyombo huru vya habari, bado serikali inaendelea kuwa na mkono wenye nguvu katika udhibiti wa vyombo vya habari hasa kupitia sheria za utoaji habari na upigaji chapa.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

these have been spread by the largely unregulated online media that the patriotic front (pf) government is intent on controlling or even shutting down altogether.

Suaíli

tetesi hizi zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii kiasi kwamba serikali ya chama chake cha patriotic front (pf) imekuwa ikifanya jitihada za kuzidhibiti au hata kuzizima kabisa tetesi hizo.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

the development of a safe and effective vaccine against sars-cov-2 for non-immune individuals is an urgent and critical task for controlling the ongoing epidemic.

Suaíli

uundaji wa chanjo salama na faafu dhidi ya sars-cov-2 kwa watu wasiokuwa na kinga ya mwili ni jukumu la dharura na muhimu la kudhibiti janga hili linaloendelea.

Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Inglês

how did the close relationship between egypt's military council (scaf) and the nearly controlling political majority lead to a "bad breakup"?

Suaíli

ni namna gani uhusiano wa karibu kati ya baraza la kijeshi la misri (scaf) na chama chenye ushawishi mkubwa wa kisiasa usababishe “anguko baya”?

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Aviso: contém formatação HTML invisível

Inglês

but if there is a hidden agenda, and rwanda's interest is more or less controlling the mining concessions and all that, illegally, and if they have a hand in each and everything that goes on in north and south kivu, then we're still a long way from trust.

Suaíli

lakini kama kuna ajenda ya siri, na maslahi ya rwanda ni kutaka kudhibiti uchimbaji wa madini na mambo kama hayo kinyume cha sheria, na kama wana mkono kwenye kwenye kila jambo linaloendelea kivu ya kaskazini na kusini, basi bado tupo mbali sana na kuaminiana.

Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:

Consiga uma tradução melhor através
7,799,501,251 de colaborações humanas

Usuários estão solicitando auxílio neste momento:



Utilizamos cookies para aprimorar sua experiência. Se avançar no acesso a este site, você estará concordando com o uso dos nossos cookies. Saiba mais. OK