Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
kiselyov is notorious for his strong criticisms of the governments in kyiv and washington.
kiselyov anajulikana zaidi kwa kukosoa vikali serikali za kyiv na washington.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
he also belittled criticisms by netizens in a palace briefing, pointing out that this was not the majority view.
pia alikejeli wakosoaji wake mtandao kwenye taarifa yake ikulu, akisema kwamba ukosoaji huo ni mtazamo usiowakilisha maoni ya wengi.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
omar basawad of safari notes dismisses these criticisms, focusing on jackson's legendary talent:
omar basawad wa safari notes anapingana na ukosoaji huu, akitilia mkazo kipaji cha ajabu cha jackson:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
due to his outspoken criticisms of official policies, pu is monitored by security forces, and has been detained and questioned on several occasions.
kufuatia tabia yake ya kukosoa sera rasmi za serikali, pu amejikuta mara kadhaa akifuatiliwa sana na vyombo vya usalama, na amekamatwa na kuhojiwa mara nyingi.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
for its part, the government acknowledged the criticisms of its relief work but warned against politicians who are exploiting the situation to advance their political agenda:
kwa upande wake, serikali ilikubali kukosolewa kwa kazi yake ya kutoa misaada lakini ilionya dhidi ya wanasiasa ambao wanaitumia hali hiyo kuendeleza ajenda zao za kisiasa:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
the congolese blogosphere had harsh criticism for congolese president joseph kabila's recent interview in the new york times.
ulimwengu wa wanablogu wa kikongo ulijaa shutuma kali dhidi ya mahojiano ya hivi karibuni ya rais wa kongo, joseph kabila kwenye gazeti la new york times.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: