A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
cyber
cyberwarfare
Última atualização: 2020-07-22
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
cyber security
usalama wa mtandao
Última atualização: 2022-03-29
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
cyber security and digital forensics
cyber security and forensics
Última atualização: 2024-04-07
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
the attack on activists' accounts is not something new to tunisia and its cyber activists.
shambulio hilo kwa anuani za wanaharakati si jambo geni kwa tunisia na wanaharakati wa mtandaoni.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
but unlike the cyber crime bill, none of these three bills have been shared with the public in their current versions.
lakini tofauti na muswada wa makosa ya mtandaoni, miswada hiyo mitatu haikuonekana hadharani katika matoleo yao ya hivi sasa.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
bloggers are under fire of the tunisian cyber police, they are trying to hack every one who supported #sidibouzid or #operationtunisia
wanablogu wanapokea shambulio kutoka kwa polisi wa mtandaoni, wanaojaribu kuingilia mawasiliano ya kila aliyeunga mkono #sidibouzid au #operationtunisia
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
and many so-called cyber-dissidents in china, tunisia, vietnam, or iran, do not have personal blogs.
na wengi kati ya wale wanaoitwa watukutu wa mitandaoni huko uchina, tunisia, vietinamu, au irani, hawana blogu zao binafsi.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
a group of iranian netizens and cyber activists wrote an open letter to iranian president hassan rouhani and asked him to use his authority to stop harrassment of iranian journalists' family members.
kundi la raia wa mtandaoni wa iran na wanaharakati waliandika barua ya wazi kwa rais wa iran hassan rouhani na kumtaka kutumia mamlaka yake ya kukomesha unyanyasaji'wanachama wa familia' wa waandishi wa habari wa iran.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
a facebook campaign asked rouhani to end the filtering of facebook, and a group of bloggers and cyber activists wrote a letter to the president-elect asking him to increase internet speeds.
kampeni ya facebook ilimtaka rouhani kukomesha uchujaji wa taarifa katika mtandao wa facebook, na kikundi cha wanablogu na wanaharakati wa sayansi ya mfumo wa mawasiliano na udhibiti wake walimwandikia barua rais mteule wakimtaka aongeze kasi ya mtandao wa intaneti.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
cyber crime bill tanzania: copied and pasted, almost zero ability to implement. — lwanda magere (@nndekindo) april 7, 2015
muswada wa makosa ya mtandaoni tanzania: umenukuliwa mahali bila marekebisho yoyote, hivyo hakuna uwezekano wa kutekelezeka
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
ahead of the saturday showdown, rival fans have been gearing up offline, as well as in heated online exchanges, escalating into a bitter "cyber-war" of intimidation.
wakati wa kuelekea pambano la jumamosi, mashabiki washindani wamekuwa wakijiandaa nje ya mtandao wa intaneti, kadhalika katika malumbano makali ya mtandaoni, ambayo yamekua na kugeuka “vita-vya-mikwara-kwenye-mtandao”
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível