Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
for there are many unruly and vain talkers and deceivers, specially they of the circumcision:
maana, wako watu wengi, hasa wale walioongoka kutoka dini ya kiyahudi, ambao ni wakaidi, wanaowapotosha wengine kwa upumbavu wao.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
for many deceivers are entered into the world, who confess not that jesus christ is come in the flesh. this is a deceiver and an antichrist.
wadanganyifu wengi wamezuka duniani, watu ambao hawakiri kwamba yesu kristo amekuja kwetu akawa binadamu. mtu asemaye hivyo ni mdanganyifu na ni adui wa kristo.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
we have sent down to you the book containing the truth, in whose light you should judge among the people as god has shown you, and do not be a contender for deceivers.
hakika sisi tumekuteremshia kitabu hiki kwa haki ili upate kuhukumu baina ya watu kwa alivyo kuonyesha mwenyezi mungu. wala usiwe mtetezi wa makhaaini.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
verily we! we have sent down the book unto thee with truth that thou mightest judge between people by that which allah hath shewn thee; and be not thou on behalf of the deceivers a pleader.
hakika sisi tumekuteremshia kitabu hiki kwa haki ili upate kuhukumu baina ya watu kwa alivyo kuonyesha mwenyezi mungu. wala usiwe mtetezi wa makhaaini.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
(the others) will reply, "true! but ye led yourselves into temptation; ye looked forward (to our ruin); ye doubted (allah's promise); and (your false) desires deceived you; until there issued the command of allah. and the deceiver deceived you in respect of allah.
watawaambia: ndiyo, lakini mlijifitini wenyewe, na mkasitasita, na mkatia shaka, na matamanio ya nafsi zenu yakakudanganyeni. mpaka ilipo kuja amri ya mwenyezi mungu, na mdanganyifu akakudanganyeni msimfuate mwenyezi mungu.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível