Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
hussain yousif, a political dissident in exile, adds:
hussain yousif, mpinzani wa kisiasa anayeishi uhamishoni, anaongeza:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
in the afternoon, ethiopian dissident journalists pass their exile by chewing miraa and discussing the day's news.
nyakati za mchana waandishi wa habari wa ki-ethiopia waliokimbia kwao hupoteza wakati wao kwa kutafuna miraa na kubadilishana habari za matukio ya siku hiyo.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
although my mother is often described as a political dissident who strives by peaceful means for democratic change, we should remember that her quest is basically spiritual.
ingawa mama yangu anaelezwa mara nyingi kama mpigania haki za kisiasa na ambaye anajaribu kwa njia za amani kuleta mabadiliko ya kidemokrasia, hatuna budi kukumbuka kwamba mapambano yake, kimsingi, ni ya kiroho.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
the agent ordered esteban to get off the vehicle in order to search him, to which the dissident replied that he was not going to allow, considering that he 'is not a delinquent'.
afisa huyo wa jeshi alimwamuru esteban kushuka garini ili afanyiwe upekuzi, kitendo ambacho esteban alikipinga akisema asingeruhusu kufanyiwa hivyo, akisema kwamba ‘yeye si mhuni’.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
and many so-called cyber-dissidents in china, tunisia, vietnam, or iran, do not have personal blogs.
na wengi kati ya wale wanaoitwa watukutu wa mitandaoni huko uchina, tunisia, vietinamu, au irani, hawana blogu zao binafsi.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: