Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
mali: fabric weaves an economical and cultural support · global voices
mali: vitambaa vyasuka nguzo za uchumi na utamaduni
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
sending message for congratulation can be the most important political, economical and historical opportunity, today and after changing american government.
kutuma ujumbe wa pongezi kunaweza kuwa ni fursa muhimu kisiasa, kiuchumi na kihistoria, leo hii na hata baada ya kubadilishwa serikali ya marekani.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
no matter how divided we are in these or future electoral percentages, the bad economical percentages are the same for everyone #izboriprh (#electionscroatia)
bila kujali ni kwa kiasi gani tunatofautiana katika asilimia za kura katika chaguzi hizi au zijazo, asilimia mbaya za kiwango cha uchumi zitaendelea kuwa zilezile kwa kila mmoja wetu.#izboriprh (#electionscroatia)
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
the world science forum (wsf) gathers hundreds of scientists from all around the world this week in brazil, to discuss their role in the 21st century and to emphasize the importance of scientific advice in political and economical decisions.
jukwaa la sayansi duniani (wsf) linajumuisha mamia ya wanasayansi kutoka duniani kote wiki hii nchini brazil, kujadili wajibu wao katika karne ya 21 na kusisitiza umuhimu wa ushauri wa kisayansi katika maamuzi ya kisiasa na kiuchumi.
Última atualização: 2024-04-11
Frequência de uso: 1
Qualidade:
among her accusations were "establishing an organization that aims to change the social and economical entity of the state” and “weakening the national sentiment, and trying to ignite sectarian strife,” reported the lebanese daily star at the time.
miongoni mwa mashitaka yake ni, “kuanzisha taasisi ambayo inayokusudia kubadilisha hali ya nchi kijamii na kiuchumi” na “kudhoofisha hisia za utaifa, na kujaribu kuchochea migogoro ya kidini,” liliandika jarida la lebanese daily star wakati huo.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível