Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
she has no news about the rest of the family though...given that no transport is functioning everybody is on foot, so its really difficult to communicate.
hata hivyo hana taarifa za wanafamilia wengine...hasa ukizingatia kwamba hakuna mfumo wa usafiri unaofanya kazi, kila mmoja anatembea kwa miguu, kwa hiyo kuna taabu kweli ya kuwasiliana.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
a newcomer thinks: how can this beautiful country, routinely described by africa hands as one of the better functioning countries on the continent, have experienced such savagery?
kwa mtu mgeni ni rahisi kujiuliza: inawezekanaje kwamba nchi hii ya kupendeza, ambayo mara nyingi watu wengi barani afrika huichukulia kama ya kupigiwa mfano kwa namna yake bora ya uendeshaji, inakuwaje kwamba iliingia katika unyama huo mkubwa usiosimulika?
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
individual activism often starts with a goal of solving personal problems, which is legitimate, as many others might be concerned by the same issue (in this case the non-functioning of the macedonian judiciary resulting in "unjust" justice).
uanaharakati binafsi mara nyingi huanza kwa lengo la kutatua tatizo binafsi, jambo ambalo ni sahihi, kama ambavyo wengine wengi wanaweza kuwa wanaguswa na jambo lile lile (kwa mukhtadha huu utendaji usioridhisha wa mfumo wa kimahakama wa kimasedonia unaosababisha haki 'isiyo haki').
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível