A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
the first "escopetarra" was made in 2003 using a winchester rifle and a stratocaster electric guitar.
"escopetarra" ya kwanza ilitengenezwa mwaka 2003 kwa kutumia bunduki aina ya winchesta pamoja na gitaa la umeme aina ya stratokasta .
the song is performed by le griot-guére, jackivoire, soro solo, and lead guitar by renowned congolese guitarist huit-kilos.
wimbo huo unachezwa na le griot-guére, jackivoire, soro solo, na gitaa la kuongoza linapigwa na mpiga gitaa gwiji kutoka kongo, huit-kilos.
"escopetarra" is a spanish blend that combines the words "escopeta" (shotgun) and "guitarra" (guitar).
"escopetarra" ni neno lililotokana na muunganiko wa maneno ya kispaniola, "escopeta" (bunduki) na "guitarra" (gitaa).