Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
in loving memory
katika kumbukumbu ya upendo ya
Última atualização: 2023-04-20
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
in loving that we are loved
katika kupenda ndiyo tunapendwa
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
two men working to build small dharahara in memory of the fallen one.
wanaume wawili wakijishughulisha kwenye ujenzi wa mnara mdogo wa dharahara kama kumbukumbu ya waliopoteza maisha.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
my memory of those afternoons is filled with heartache.
kumbukumbu zangu kwa hizo siku imejawa na maumivu ya moyo.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
please join us in lighting a candle in memory of those whose lives were taken and in hope for a future of peace, justice, and true reconciliation.
tafadhali unganeni nasi katika tukio la kuwasha mishumaa kwa kumbukumbu ya wale walioporwa maisha yao na kwa matumaini ya mustakabali uliojaa amani, haki na maelewano ya kweli.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
memories of last week's session
kumbukumbu za kikao cha wiki iliyopita
Última atualização: 2023-04-04
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
a group of students, mostly from kenya, gathered in beijing on april 18 to hold an unofficial candlelight vigil to honor the memory of the 147 people killed at garissa university college on april 2 in northern kenya.
kikundi cha wanafunzi, wengi wao wakiwa wakenya, walikusanyika jijini beijing mnamo aprili 18 kufanya ibada isiyorasmi ya kuwakumbuka watu 147 waliouawa kwenye chuo kikuu kishiriki cha garissa mnamo aprili 2 kaskazini mwa kenya.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
fans are sharing their memories of jackson on his official site in nearly a dozen languages, and the news made the front page of papers across the globe.
mashabiki wamekuwa wakishirikishana kumbukumbu za jackson katika wavuti yake rasmi katika lugha zaidi ya kumi, na habari hiyo ya kifo imetawala kurasa za kwanza za magazeti dunia kote.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
the protests last month and the active military presence in the cities to secure the protests somehow refreshed memories of the nation's past experience with fuel riots.
maandamano yaliyofanyika mwezi uliopita na uwepo wa askari jeshi kwa wingi ili kuzuia vurugu kwenye maandamano, jambo linaloleta kumbukumbu za vurugu zilizopata kutokea katika taifa hili kuhusiana na suala la mafuta.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
although sars-cov-2 came as a new virus to the human world, its high homology to sars-cov as reported on 7 january 2020 should have caused high alert to china based on her deep memory of the sars outbreak in 2003.
ingawa virusi vya sars-cov-2 vilikuja kama virusi vipya kwa ulimwengu wa binadamu, kufanana sana kwake na sars-cov kama ilivyoripitwa tarehe 7 januari 2020 kungepaswa kutoa tahadhari kubwa kwa china kutokana na kumbukumbu lao la mkurupuko wa sars wa 2003.
Última atualização: 2020-08-25
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
one can not win if one does not play. so it is with life. so it is with love. the truth is our chances are best as a team, and as friends with the same purpose our struggles will be less, distant memories of another lifetime. in that freedom we play like children, we live music, we love like glowing embers at midnight filling the sky with stars that vanquish the darkness. the reward for playing this game is happiness.
shairi juu ya upendo
Última atualização: 2015-05-05
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: