Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
of such an one will i glory: yet of myself i will not glory, but in mine infirmities.
basi, nitajivunia juu ya mtu wa namna hiyo, na si juu yangu mimi binafsi, isipokuwa tu juu ya udhaifu wangu.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
that it might be fulfilled which was spoken by esaias the prophet, saying, himself took our infirmities, and bare our sicknesses.
alifanya hivyo ili yale aliyosema nabii isaya yatimie: "yeye mwenyewe ameondoa udhaifu wetu, ameyachukua magonjwa yetu."
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
and in that same hour he cured many of their infirmities and plagues, and of evil spirits; and unto many that were blind he gave sight.
wakati huohuo, yesu alikuwa anawaponya watu wengi waliokuwa wanateseka kwa magonjwa na waliopagawa na pepo wabaya, akawawezesha vipofu wengi kuona tena.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
for we have not an high priest which cannot be touched with the feeling of our infirmities; but was in all points tempted like as we are, yet without sin.
huyu kuhani mkuu wetu si mmoja ambaye hawezi kutuunga mkono katika unyonge wetu, ila ni kuhani mkuu ambaye alijaribiwa kama sisi kwa kila namna lakini hakutenda dhambi.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
and he said unto me, my grace is sufficient for thee: for my strength is made perfect in weakness. most gladly therefore will i rather glory in my infirmities, that the power of christ may rest upon me.
lakini akaniambia: "neema yangu inatosha kwa ajili yako; maana uwezo wangu hukamilishwa zaidi katika udhaifu." basi, ni radhi kabisa kujivunia udhaifu wangu ili uwezo wake kristo ukae juu yangu.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
th i take pleasure in infirmities, in reproaches, in necessities, in persecutions, in distresses for christ's sake: for when i am weak, then am i strong.
kwa hiyo nakubali kwa radhi udhaifu, madharau, taabu, udhalimu na mateso, kwa ajili ya kristo; maana ninapokuwa dhaifu, ndipo ninapokuwa na nguvu.
Última atualização: 2014-03-26
Frequência de uso: 1
Qualidade:
i speak after the manner of men because of the infirmity of your flesh: for as ye have yielded your members servants to uncleanness and to iniquity unto iniquity; even so now yield your members servants to righteousness unto holiness.
(hapa natumia lugha ya kawaida ya watu kwa sababu ya udhaifu wenu wenyewe.) kama vile wakati fulani mlivyojitolea ninyi wenyewe kutumikia uchafu na uhalifu kwa ajili ya uovu, vivyo hivyo sasa jitoleeni nafsi zenu wenyewe kutumikia uadilifu kwa ajili ya utakatifu.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade: