Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
but some humanity is stripped away with the intimidating get-up.
lakini hali hiyo inakuwa kama inadhalilisha utu wa mwanadamu.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
these are no mere words, coming from one with such intimidating rich background:
haya si maneno matupu, yanayotoka kwa mtu mwenye historia ndefu na inayoogofya:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
the government has used various tactics to discourage media coverage of protests, including intimidating journalists.
serikali imetumia mbinu mbalimbali kukatisha tamaa kutangazwa kwa habari za maandamano hayo, ikiwa ni pamoja na kuwatisha waandishi wa habari.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
she has her own unique and polite way of making sure she gets her point across without being intimidating or manipulative.
alikuwa akitumia upole wake wa kipekee wa kuwasilisha kile alichokiamini bila ya vitisho wala kuficha ukweli.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
for many, the closing of the television channel is a clear attack on free press and it also becomes an intimidating act.
kwa wengi, kufungwa kwa idhaa ya televisheni ni shambulio la wazi kwa vyombo huru vya habari na pia ni kitendo cha kutishia.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
an audio recording shared by the medical association of mozambique on facebook on may 21 revealed the director of mozambique's largest hospital threatening and intimidating healthcare professionals:
rekodi ya sauti iliyotumwa na chama cha madaktari cha msumbiji katika mtandao wa facebook mnamo mei 21 imefunua kitendo cha mkurugenzi wa hospitali kubwa msumbiji akiwatisha wataalamu wa afya:
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: