Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
i lift up jesus high
mwinue yesu juu
Última atualização: 2021-07-15
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
the god of our fathers raised up jesus, whom ye slew and hanged on a tree.
mungu wa babu zetu alimfufua yesu baada ya ninyi kumwua kwa kumtundika msalabani.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
wherefore lift up the hands which hang down, and the feeble knees;
basi, inueni mikono yenu inayolegea na kuimarisha magoti yenu yaliyo dhaifu.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
but for us also, to whom it shall be imputed, if we believe on him that raised up jesus our lord from the dead;
jambo hili linatuhusu sisi pia ambao tunamwamini mungu aliyemfufua yesu, bwana wetu, kutoka wafu.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
and in hell he lift up his eyes, being in torments, and seeth abraham afar off, and lazarus in his bosom.
huyo tajiri, alikuwa na mateso makali huko kuzimu, akainua macho yake, akamwona abrahamu kwa mbali na lazaro karibu naye.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
and when these things begin to come to pass, then look up, and lift up your heads; for your redemption draweth nigh.
wakati mambo hayo yatakapoanza kutukia, simameni na kuinua vichwa vyenu juu, kwa maana ukombozi wenu umekaribia."
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
Aviso: contém formatação HTML invisível
god hath fulfilled the same unto us their children, in that he hath raised up jesus again; as it is also written in the second psalm, thou art my son, this day have i begotten thee.
kama ilivyoandikwa katika zaburi ya pili: wewe ni mwanangu, mimi leo nimekuwa baba yako.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
and, behold, there was a woman which had a spirit of infirmity eighteen years, and was bowed together, and could in no wise lift up herself.
na hapo palikuwa na mwanamke mmoja aliyekuwa mgonjwa kwa miaka kumi na minane kutokana na pepo aliyekuwa amempagaa. kwa sababu hiyo, mwili wake ulikuwa umepindika vibaya hata asiweze kusimama wima.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência:
and the publican, standing afar off, would not lift up so much as his eyes unto heaven, but smote upon his breast, saying, god be merciful to me a sinner.
lakini yule mtoza ushuru, akiwa amesimama kwa mbali bila hata kuinua macho yake mbinguni, ila tu akijipiga kifua kwa huzuni, alisema: ee mungu, unionee huruma mimi mwenye dhambi.
Última atualização: 2012-05-06
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: