A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
if the country is going in the right direction and museveni achieves high marks, the logic is there is no problem.
kama nchi inaelekea kwenye mwelekeo sahihi na museveni anafanikiwa kwa alama za juu, mantiki ni kwamba hakuna tatizo.
i'm starting to dislike my government very much, it shows so much fear, infantile logic and an alarming willingness to resort to violence.
ninaanza kuichukia sana serikali yangu, inaonesha hofu kubwa sana, mantiki ya kitoto na utashi unaostusha wa kutumia nguvu.
by mthembu’s logic, it is completely acceptable inciting people to kill others, provided there is “context”.
kwa mantiki ya mthembu, inakubalika kabisa kuchochea watu waue watu wengine, ikiwa tu kuna “mazingira au hali inayoruhusu”.
kabeya tshikuku, professor at the institute of economic and social research (ires) at the university of kinshasa, has argued that business logic is forcing african policymakers to make a difficult choice between the core values of their civilization (family solidarity, peers well being and other support platforms) and business administration, linked to a search for profit devoid of human consideration.
kabeya tshikuku, profesa katika taasisi ya utafiti ya kiuchumi na kijamii (ires) katika chuo kikuu cha kinshasa, anaamini kuwa mantiki ya kibiashara ni kulazimisha watunga sera wa afrika kufanya maamuzi magumu kati ya tunu za msingi wa ustaarabu wao (mshikamano wa kifamilia, ustawi wa marafiki zao nk) na utawala wa biashara, unaohusishwa na kutafuta faida tu bila ya kujali ubinadamu.