Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
lant pritchett explains this notion in details in his book: let their people come: breaking the policy deadlock on international labor mobility.
lant pritchett anafafanua dhana hii kwa kina katika kitabu chake: waache watu wake waje; kuvunjwa kwa ukomo wa sera ya uhamiaji wa kimataifa wa nguvukazi.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
we have taken this decision in order to protect the food security of the country and also to ensure that small-scale farmers are not discouraged from producing the crop in subsequent years… to ensure that zambian maize is competitive on the international markets, the government will ensure that production costs are reduced through, among other strategies, the provision of agricultural extension training and transportation for mobility to extension workers with a view to increasing productivity among the small-scale farmers.
tumechukua uamuzi ili kulinda usalama wa chakula katika nchi na pia kuhakikisha kwamba wakulima wadogo hawakatishwi tamaa kuzalisha mazao katika miaka ijayo…kuhakikisha mahindi yanayolimwa zambia yanakuwa na ushindani vya kutosha katika soko la kimataifa. serikali itahakikisha gharama za uzalishaji zinapungua kupitia, pamoja na mikakati mingine, mafunzo ya huduma za ugavi wa kilimo na usafiri kwa ajili ya wafanyakazi wa mafunzo hayo kwa mtazamo wa kuongeza uzalishaji miongoni mwa wakulima wadogo.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: