Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
the draft law was met by wide objections.
rasimu ya sheria hiyo imekumbana na vipingamizi vikubwa.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
they also demand a dialogue with the government to discuss their objections to the education and constitutional reforms proposed by president otto pérez molina.
pia, wanahitaji majadiliano na serikali ili kujadili pingamizi lao kuhusiana na mabadiliko ya elimu pamoja na ya katiba yaliyopendekezwa na rais otto pérez molina.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
and behold, the evil ones do inspire doubts and objections into the hearts of their friends so that they dispute with you; but if you obey them, you will surely yourselves turn into those who associate others with allah in his divinity.
na kwa yakini mashet'ani wanawafunza marafiki zao kubishana nanyi. na mkiwafuata basi hapana shaka nyinyi mtakuwa washirikina.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
an egyptian activist has turned to youtube to spell out his objection to the mandatory military service in the egyptian army, compulsory for men aged between 18 and 30.
mwanaharakati wa misri ametumia mtandao wa youtube kuelezea anavyopinga utaratibu wa kulitumikia jeshi kwa lazima kwa raia wenye umri wa miaka kati ya 18 na 30.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: