Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
prisons were reported to be overcrowded by 45 per cent on average.
magereza yaliripotiwa kuwa na msongamano mkubwa na asilimia 45 kwa wastani.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
al-bilasi talked about the inhumane conditions in the cells: "it was small and overcrowded.
al-bilasi alisimulia kuhusu hali ya mbaya na unyama katika selo:.. ".
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
this disaster comes five months after a fire killed more than a 100 people, mostly women, at another overcrowded garment factory tazreen fashions.
tukio hili linakuja miezi mitano baada ya tukio jingine la moto ambalo liliua zaidi ya watu 100, wengi wao wakiwa ni wanawake katika kiwanda kingine cha nguo kilichokuwa na msongamano mkubwa wa watu kijulikanacho kama “mitindo ya tazreen”.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
in his documentary, kostiantyn usov shows the lukyanivska prison the way it really is, as a place where thousands of ukrainians with no access to domestic or international media spend years living in overcrowded, subhuman conditions as they await their verdicts.
lakini katika filamu yake, kostiantyn usov, anaonyesha hali halisi ilivyo katika gereza la lukyanivska, kama mahali ambapo maelfu ya raia wa ukraine ambao hawana fursa ya kuonekana kwenye vyombo vya habari vya nyumbani na hata vile vya kimataifa, wanavyopitisha miaka katika mazingira ya mlundikano, na hali zisizo za kibinadamu wakati wanaposubiri hukumu zao.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade: