Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
and allah is with the patiently persevering.
na mwenyezi mungu yu pamoja na wenye kusubiri.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
in that are signs for every persevering, thankful person.
hakika katika haya zipo ishara kwa kila mwenye kusubiri, mwenye kushukuru.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
verily herein are signs for every persevering, grateful persons.
hakika katika hayo bila ya shaka zimo ishara kwa kila mwenye kusubiri sana na akashukuru.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
and if ye remain persevering and god-fearing their guile shall not harm you at all.
na nyinyi mkisubiri na mkajizuilia, hila zao hazitakudhuruni kitu.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
so if there be a hundred of you persevering, they will overcome two hundred, and if there be a thousand of you they will overcome two thousand, by the command of allah and allah is with the persevering.
na wakiwapo elfu moja watawashinda elfu mbili, kwa idhini ya mwenyezi mungu. na mwenyezi mungu yu pamoja na wenye kusubiri.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
if there be twenty of you persevering, they will overcome two hundred, and if there be of you a hundred, they will overcome a thousand of those who disbelieve, for they are a people who understand not.
wakiwapo kati yenu ishirini wanao subiri watawashinda mia mbili. na wakiwapo kati yenu mia watawashinda elfu moja katika walio kufuru.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
o yea! if ye but remain persevering and god-fearing, and they should come upon you in this rush of theirs, your lord shall reinforce you with five thousand angels marked.
kwani! ikiwa mtavumilia na mkamchamngu na hata maadui wakikutokeeni kwa ghafla, basi hapo mola wenu mlezi atakusaidieni kwa malaika elfu tano wanao shambulia kwa nguvu.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
and obey allah and his messenger; and fall into no disputes, lest ye lose heart and your power depart; and be patient and persevering: for allah is with those who patiently persevere:
na mt'iini mwenyezi mungu na mtume wake, wala msizozane mkaingiwa woga, na zikapotea nguvu zenu. na subirini.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade: