A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
source of food
chanzo cha mapato
Última atualização: 2024-06-19
Frequência de uso: 1
Qualidade:
the giving of food upon the day of hunger
au kumlisha siku ya njaa
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
or the giving of food in a day of hunger
au kumlisha siku ya njaa
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
the starvation crisis is simply one of food distribution, not shortage.
tatizo la njaa kwa kifupi ni tatizo la usambazaji, na si la upungufu.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
he told us the quality of food since last ramadan became better in prison...
alitueleza kwamba ubora wa chakula kule gerezani umeongezeka kidogo tangu ramadhani iliyopita ...
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
we afflicted pharaoh's people with shortages of food and famine so that they might take heed,
na hakika tuliwaadhibu watu wa firauni kwa miyaka (ya ukame) na kwa upungufu wa mazao, ili wapate kukumbuka.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
'moses' you said, 'we will no longer be patient with one type of food.
na mlipo sema: ewe musa!
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
give us our (daily) bread, for you are the best of all givers of food."
basi turuzuku, kwani wewe ndiye mbora wa wanao ruzuku.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
however, ever since the start of the scheme, reports of embezzlement of food meant for children have consistently surfaced.
hata hivyo, tangu kuanza kwa utaratibu huu, kumekuwa na taarifa za wazi za ubadhirifu wa chakula kilichokusudiwa kwa wanafunzi.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
now, understand that a large portion of food production in nigeria is done through mechanized farming which makes use of less manual labour.
sasa, elewa kwamba sehemu kubwa ya uzalishaji wa chakula nchini nigeria hufanyika kwa njia ya kilimo kinachotumia mashine inayotumia idadi ndogo ya wafanya kazi.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
haiti grassroots watch examines "complaints and rumors about the misuse, abuse, or negative effects of food aid."
blogu ya haiti grassroots watch inasaili "malalamiko na tetesi kuhusu matumizi mabovu au hata matokeo yasiyotarajiwa ya misaada ya chakula."
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
it is he who has made the earth a bed for you and the sky a canopy; and it is he who sends down rain from above for the growth of every kind of food products for your sustenance.
(mwenyezi mungu) ambaye amekufanyieni hii ardhi kuwa kama tandiko, na mbingu kama paa, na akateremsha maji kutoka mbinguni, na kwayo akatoa matunda yawe riziki zenu.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
marianne talks about everyday life in venezuela - how shortages of food and medicine affect people, and how newspapers in the country have been reduced to as few as four pages because of lack of paper.
marianne anazungumzia kuhusiana na maisha ya kawaida nchini venezuela -namna upungufu vya chakula na madawa unavyoathirir watu, na jinsi magazeti nchini humo yalivyopunguza kurasa na kubaki na kurasa chache mpaka nne hivi kutokana na ukosefu wa karatasi.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
we are weary of one kind of food; so call upon thy lord for us that he bring forth for us of that which the earth groweth - of its herbs and its cucumbers and its corn and its lentils and its onions.
hatuwezi kuvumilia chakula cha namna moja tu, basi tuombee kwa mola wako mlezi atutolee vile vinavyo mea katika ardhi, kama mboga zake, na matango yake, na thom zake, na adesi zake, na vitunguu vyake.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
(joseph) said, "to prove that my interpretation of your dream is true, i can tell you what kind of food you will receive even before it comes to you.
akasema: hakitakufikilieni chakula mtakacho pewa ila nitakwambieni hakika yake kabla hakijakufikieni.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
since there are many ethnic groups in east africa, they are foods of different types. the types of food match the area where people live. for example, people who live near a lake or sea eat fish in abundance. people who breed animals like cows and goats love to eat meat. in this section, you will learn about the favorite foods of the people of east africa.
kwa vile kuna makabila mengi katika afrika mashariki, navyo vyakula ni vya aina tofauti tofauti. aina za chakula hulingana na eneo wanakoishi watu. kwa mfano, watu wanaoishi karibu na ziwa au bahari hula samaki kwa wingi. watu wanaofuga wanyama kama ng’ombe na mbuzi hupenda kula nyama. katika fungu hili, utajifunza kuhusu vyakula wanavyovipenda watu wa afrika ya mashariki.
Última atualização: 2022-10-18
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Referência: