Tentando aprender a traduzir a partir dos exemplos de tradução humana.
A partir de tradutores profissionais, empresas, páginas da web e repositórios de traduções disponíveis gratuitamente
if the answer is in the pocket of our government?
kama jibu ni katika mfuko wa serikali yetu?
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
it is in the pocket of basijis (islamic militias)."
zimeingia kwenye mifuko ya basijis (wanajeshi wa kiislamu).”
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
put your hand into your pocket. it will come out sheer white but unharmed.
na ingiza mkono wako katika mfuko wako, utatoka mweupe bila ya maradhi.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
place your hand in your pocket; it will come out sheer white but not sick.
ingiza mkono wako kwenye mfuko wako, utatoka mweupe pasipo na ubaya. na jiambatishe mkono wako ukihisi khofu.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
army and rescuers look through the pocket point in the rubble of rana plaza where they found reshma located alive under the rubble.
wanajeshi na waokoaji wakiangalia sehemu rishma alipokuwa amezuiwa na kifusi cha jengo la rana plaza, mahali walipompata akiwa hai.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
he was mesmerised by what he saw and with the last remaining 5 shillings that he had in his pocket, he decided to buy her a banana too.
alishangazwa na kile alichokiona na akaamua kutumia shilingi tano zilizokuwa zimebaki mfukoni kumnunulia ndizi pia.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
playing in the pocket, between the midfield and attack, his movements off the ball wreaked havoc on the heart of simba's defence.
akicheza kati ya viungo na ushambuliaji, mwendo wake na mpira uliwachanganya kabisa nafasi ya ulinzi ya simba langoni.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
"i always wanted to be free and not depend on my father for pocket money or eventually my boyfriends or brother and that sort of thing," she says.
"nimekuwa nikitaka kuwa huru na kuacha kumtegemea baba yangu kwa fedha za kujikimu au kuwategemea rafiki zangu wa kiume au kaka na watu kama hao," anasema.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível
@madonah12: #payinterns is the best trend ever i just love the idea that interns should get lunch fare and pocket money cc @robertalai good work
ni muhimu kuwa intani wapate hela za chakula cha mchana, nauli na pesa kidogo za mfukoni.cc @robertalai kazi njema
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
put your hand inside your pocket, and it will come out white, without blemish—among nine miracles to pharaoh and his people, for they are immoral people.”
na ingiza mkono wako katika mfuko wako, utatoka mweupe bila ya maradhi. ni katika ishara tisa za kumpelekea firauni na kaumu yake.
Última atualização: 2014-07-03
Frequência de uso: 1
Qualidade:
"power africa" will likely not produce as much energy as promised, while lining the pockets of politically-connected individuals in both the u.s. and africa.
mradi wa "umeme kwa afrika" hautazalisha umeme kwa kiasi kingi kama inavyoahidiwa, labda sana utatunisha tu mifuko ya watu wenye uhusiano na wanasiasa wa pande zote mbili, marekani na afrika.
Última atualização: 2016-02-24
Frequência de uso: 1
Qualidade:
Aviso: contém formatação HTML invisível